Psychopath
 
Askofu Kakobe alimtaka Magufuli akatubu ili Mungu amsamehe. Alimuambia atubu sababu Magufuli alikuwa hafuati Sheria za Nchi. Kakobe alimwambia, CCM mpo wengi Bungeni, si mbadilishe tu katiba iwe ya chama kimoja kama hamtaki vyama vingi?

Kakobe akisema hata Mungu anatukanwa itakuwa wewe ndo usitukanwe wewe ni nani?

Je, Magufuli angetubu ili asife angepungukiwa nini?

Your browser is not able to display this video.
 
Wewe ni nani? Wewe ndo shetani uliyemuuwa Magufuli?
 
Sisi waafrika akili zetu twajifahamu wenyewe.

Ujinga wetu ni pale tunapoingiza siasa makanisani.

Matokeo yake huwa ni gharika.
 
Magu alikuwa Nabii.

Wakati kakobe na wenzie wamejificha na kuvaa barakoa, kuogopa corona.

Jembe likitokea hadharani kuwaelekeza wananchi ktk IBADA wafunge na kuomba.

Mungu wa Magu ndiye aliyeinusuru Dunia na tauni ya corona.

Amen
 
MAGUFULI alijiona ni Mungu hivyo haikuwa Rahisi kwake Kutubu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…