Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Comments reservedUkatili, ubabe, uuaji, kupoteza watu, kusigina katiba, kupirisha sheria kandamizi, wizi, kubambikia watu kesi, lugha chafu, hotuva za hovyo, mirdi isiyo ya tija, kukandamiza upinzani, uongo mfarakanishi hayo ni nusu tu.
Wewe unataka vitu vipya vipi?Marudio usiku wote huu,leta vitu vipya
Anatamka Leo kuwa maendeleo hayana chama, wakati kesho yake anawaambia wapiga kura kuwa msinichangiye betri na gunzi!
Hakika ametuvuruga sana.............Huyu mzee katuvuluga sana
Jamaa alikuwa 'conflicted' sana.Anatamka kuwa "Mtanikumbika kwa mema wala si kwa mabaya yangu, nawasihi tusibaguane kwa vyama vyetu vya siasa, wala ukabila na udini na kamwe tusiache kumwomba Mungu wetu" mwisho wa kunukuu.
Ongezeni ratiba ya MSOSI na VINYWAJI vya kutosha kama beer.. huu ni muda wa kusheherekea
Du!!!!!Ongezeni ratiba ya MSOSI na VINYWAJI vya kutosha kama beer.. huu ni muda wa kusheherekea
Kalamu1Jamaa alikuwa 'conflicted' sana.
Ni kama mtu anayepambana na mashetani kichwani mwake, maanake mara nyingi alipokuwa akisema jambo jema, akiondoka hapo anakwenda kufanya kinyume kabisa na alichokuwa akikisemea.
Nadhani utashi wake ilikuwa atende mema, lakini kulikuwa na nguvu/msukumo mkali uliozidi utashi wake na kuanza kuangukia mabaya aliyotaka kuyaepuka.
Mfano wa maneno hayo ni ushuhuda kamili juu ya mapambano aliyokuwa akiyapitia kichwani mwake.
Kuna wakati mapambano yake, yale mazuri yaliweza kuyashinda yale mabaya.
Kwa mfano: Matukio ya watu kutekwa, yalikoma, mazuri yalipoyazidi mabaya, na ikaendelea kuwa hivyo. Kuna mengine mengi ya aina hiyo.
Mfano mzuri ni huo uliouweka hapo: Anasema "Maendeleo hayana vyama", na hapo hapo anakandamiza wapinzani na kuwaambia watu wakichagua wapinzani hatawaletea maendeleo.
Ni kama alikuwa na ukichaa wa aina fulani kichwani.
Hiyo Chato itageuka Gbadolite ya TZAlidhani Chato itakuwa Paris, kumbe Chato unaenda kuwa mji wa magofu mapya
Asante sanaa!, mjadala umefungwa." HE DID NOT WALK HIS TALK!"