Na bado. Yule mzee mlisema vibaya sana sijui kosa lake ni lipi hasa.
 
Ulimsema vibaya kwa mambo gani?
 
Watziss? What are you saying exactly? Hatujui wengi kuwa kuna mtu anaitwa kigogo, vigogo wako kila mahali. Magu hakuwa na maadui wala wateswa waliokimbilia nchi za nje other than tundulissu na walioenda US na Canada wote wana makosa yao wanayajua ila tunajua mostly ni kutafuta maisha kwa kuhongwa na NGO ambazo sasa tunajua kuwa kumbe mashoga.

Uhasama wa serkali na wanaharakati ulianzia Muhimbili madaktari waliposhawishiwa na CHADEMA kugoma, wakoingwa mkono naxwanaharakati magazetini. Ndipo Idara ya James Bond ilipokuja kuokoa Watanzania kama waliolazwa Muhimbili wanagomewa. Luna Dr Ulimboka na Dr Kubenea kama sikosei, wakapotezwa kuinusuru nchi yetu. Kila serkali duniani ina Idara ya James Bond, na hata hivyo Magufuli wakati ni Mbunge wa kawaida. Mates hayo yakajitojeza tena Zanzibar, kikundi cha UAMSHO, ikabidi napo James Bond aingie kazini tena, again wakati huo Maguguli ni waziri wa kawaida ingawa machachari. Kama ni mtu wa kuulizwa ni Mkapa na Kikwete, huyu Magufuli yeye sana ni kuwakomesha bungeni walipoanza ushabiki, au kuwapa madaraka ma DC kama ole Sabaya na Jerry Muro kuwaonjesha joto la jiwe wapinzani walioanza kujiona ni miungu wadogo.

Huyu Mr. Mlawa atakuwa ni nani khasakhasa? Au ni hawa sukumagang tunasikia, ni Msukuma or what? What is your point exactly, Sir?
 
Rest in Power JPM, japo unamakosa yako na mazuri yako mimi sitakusahau, nitakukumbuka ulikuwa unauthubutu sana.

Humuonei haya fisadi.
 
Tunakushukuru Baba yetu mpendwa JPM kwa wema ulioifanyia Tanzania ulipokuwa hai.
Yawezekana kwa wakati huo hatukukuelewa vizuri, lakini sasa tumekueelewa vizuri sana.

Nashukuru Mungu kwani kwa sasa Watanzania zaidi ya 92% wanakukumbuka sana Baba. Hao ni watu wa kutoka makabila yote, dini zote, rika zote, jinsi zote, kanda zote na vyama vyote Tanzania.

Ulikuwa mtetezi wa wanyonge kweli kweli. Kwa bahati mbaya wengi wa waliopo sasa ni watetezi wa MABEBERU na MAJIZI.
Hali ni mbaya kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…