Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Utakuwa una Machozi mengiNdugu zangu kwa kuwa bado nina huzuni kuu wacha nikuachieni kitu ambacho kimenifanya leo nilie kama mtoto mwenyezi Mungu amrehemu huko alipo
Huyu mtu alikua anajua fate yake!!
Kuna siri aliijua na plan ya hatma yake!!
Unalia Kwa huyu jamaa kutuchagulia bunge la mabogasi??Ndugu zangu kwa kuwa bado nina huzuni kuu wacha nikuachieni kitu ambacho kimenifanya leo nilie kama mtoto mwenyezi Mungu amrehemu huko alipo
pole sana aisee
Aisee, kweli duniani kuna watu wa aina nyingi, najiuliza Wanyonge waliumbwa ili wawe wanajiliza kwa mambo ya kijinga au kusudi ni nini? Mtu anamlilia mtu kama Jiwe [emoji848][emoji848][emoji848]Ndugu zangu kwa kuwa bado nina huzuni kuu wacha nikuachieni kitu ambacho kimenifanya leo nilie kama mtoto mwenyezi Mungu amrehemu huko alipo
Aliamini sana ushirikina kuliko science corona ikapita nayeHuyu mtu alikua anajua fate yake!!
Kuna siri aliijua na plan ya hatma yake!!