Kitu pekeee USA anafanya ni kumuangusha mwarabu, na kwa huu ugunduzi wa vifaa vya umeme trust me mwarabu anaenda kuanguka
 
Duh! Ukipima hali yako kwa JPM na sasa kwa SSH unaona kama umeimarika sana?
 
Sasa hivi nimepata ajira wakati kipindi Cha jpm nilikuwa natembeza nguo tu barabarani kama chikolaas
Unaweza kupata ajira Kwa njia Moja ama nyingne lakin kikubwa ni kwamba kile kipato ambacho ungekipata wakati WA jpm, si sawa na kipato Cha ssh ambacho ulicho nacho Kwa sasa, uwe unaangalia na kupima usiangailie tu ww angalia uchumi na jamii Kwa ujumla maana kipato unachokipata ww kinategemeana na jamii inayokuzunguka, jamii inayokuzunguka ikianguka jua kabisa huna kabisa hicho kipato ulichonacho Kwa sas
 
Kipindi Cha JPM nilitembeza mitumba mpaka kila mtu anidharau Sasa heshima yangu imerudi. Sasa hivi dreams za vijana kuwa na maisha Bora zimerudi ila wale mbumbu ambao hawana shule wanenina mana walitamani wote tuwe sawa kama kipindi kileeee Cha jpm.
 
Uchumi Huwa unananyuliwa na sector binafsi ndo mana kipindi Cha jpm ajira zilikuwa hamna mana sector binafsi aliua. Unakuta shule zimefunga kisa Kodi kibao na wakati huohuo serikali haiajiri Sasa huyu kijana angeenda wapi zaidi ya kutembeza mitumba
Chu
 
Kwa haya yanayoendelea kwa sasa nchini mwangu Tanzania, ni wazi Magufuli alikuwa afe ili wao wafanye yao.
 
Kipindi Cha jpm nilitembeza mitumbs mpaka kila mtu anidharau Sasa heshima yangu imerudi. Sasa hivi dreams za vijana kuwa na maisha Bora zimerudi ila wale mbumbu ambao hawana shule wanenina mana walitamani wote tuwe sawa kama kipindi kileeee Cha jpm.
unapotea ndugu jitambue, ajila ni nafasi ya dhamana na bahati hakuna mtu anapata tu ajila bila bahat ama kuvushwa na ndugu jamaaa na malafiki hata siku Moja, ila jambo kubwa ni kutokaNa na uchumi WA taifa ukiwa umesimama imala na uongoz bola ndo utawez KUFANIKIWA maisha mushukulu mungu Kwa hatua uliyopo lakin si saihii na JPM UONGOzi wake ahxnt
 
Ajira siyo bahati ni competence ya mtu. Kwa jpm ndo ajira ilikuwa bahati kwa sababu aliua kila kila kitu ajira zikabski zinafutwa kwa tochi
 
Nitasemaje mi mwehu wakati nimepata ajira nzuri chini ya samia
Haikuwa bahati yako utawala ulee,, kuna watu kibao walipata ajira kipindi hicho,, JWTZ, TISS, TAKUKURU, ELIMU, AFYA, POLISI nk

Mm nina madogo kibao wameajiriwa utawala ule japo na waliofutwa kazi kwa uzembe wao pia wapo ila siwezi kulaumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…