Hivi ukimwangalia mamako mzazi na ukoo wako mna utajiri gani?

Hakika Samia bora awauze huko kwa waraabu tu wapumbavu nyie!
 
Ajira kwa Sasa zimejaa kila Kona na juzi juzi tu ajira elfu 13 zimetolewa kwa kuanzia na Bado mazuri yanakuja be patient
Nyie machawa wa mama mna kazi sana!


Hapa nimegundua kitu kwako, udini umekujaa. Maana wanaomtetea Samia wote ni kwa sababu ya udini tu
 
Mi ni mkristo tena mkatoliki ila nasema ukweli wa moyo wangu yule jamaa alikuwa anatupeleka Chaka tena Bora mungu kamuwahi mana angepinduliwa na jeshi kwa kukosa mishahara ya kuwalipa one day mana wawekezaji wote wangekimbua nchi na wakabaki mahinga ambao hawalupi Kodi
Nyie machawa wa mama mna kazi sana!


Hapa nimegundua kitu kwako, udini umekujaa. Maana wanaomtetea Samia wote ni kwa sababu ya udini tu
 
Nyie machawa wa mama mna kazi sana!


Hapa nimegundua kitu kwako, udini umekujaa. Maana wanaomtetea Samia wote ni kwa sababu ya udini tu
Ukiachana na huo udini shule pia ni tatizo.
 
Aiseee Magufuli kafufuka kusemea mkataba wa Bandari
 
Kati ya maraisi wa ovyo kuwahi tokea ni jpm , alikuwa mbinafisi , mwizi, muuaji, na mkandamiza haki za raia
 
Pamoja na miujiza yote lakini hawakumwamini Yesu wakati ule wakamuua. Leo hii Dunia nzima ni Yesu hata waislamu wanamjua nabii issa
 
Wakati umefika mkawafungulie kesi za jinai na mkatoe uthibitisho mahakamani why wapo nje? Napata ukakasi sana kuamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…