Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
17 march 2021, wengi wa watanzania wataendelea kuilaani hiyo siku na kukiwapo watu ambao ni sababu ya kifo hicho nao wataendelea kulaaniwa na hiyo laana iwe hadi juu ya vizazi vyao vyote, Na ikiwa ni mapenzi ya Mungu Basi Mungu atukuzwe Milele na jina lake libarikiwe
 
Ni mzee wa 60, Ila niliona picha yake machozi yananindoka. Kama Ni Mungu poa, Ila Kama kuna binadamu, alaaniwe.
 
View attachment 1734652
Picha: Hayati Rais Magufuli enzi uhai wake

This is a special thread and a tribute to the late J.P.M.

Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa bali ni Bwana hutuponya na mauti (Zaburi 33:16), yaliyoandikwa yametimia Mungu amlaze mahala pema peponi.

Hakika tutammiss, kama ule usemi usemao umuhimu wa mtu huonekana zaidi asipokuwepo.

Yafuatayo ni mambo aliyonikosha J. P. M (R. I. P).

1. Nidhamu kwenye taasisi za serikali, kuanzia matumizi, utendaji wa kazi na utoaji wa huduma.

2. Msimamo bila kujali nchi nyingine zimeamuaje, kimsingi maamuzi mengi yalifanywa kuzingatia maslahi ya nchi sio mkumbo ( i.e chanjo ya corona).

3. Super-Mega projects zenye maslahi ya muda mrefu, S.G.R, Nyerere, Mwendokasi n.k.

4. Kuwanyoosha majirani zetu walizoea kutuibia na kutuchezea michezo ya ajabu ajabu.

5. Kuleta siasa za kuambiana ukweli na sio za kubembelazana hovyo.

6. Kukomesha ujambazi na matukio ya kihalifu majumbani.

7.

Itaendelea...

PIA SOMA>> TANZIA - Rais John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar
Kuua na kuteka watu
 
Basi yule Akida aliyekuwa amesimama pembeni akimuangalia Yesu Kristo pale Juu ya Msalaba alijipigapiga kifua akasema " Hakika Huyu Ni Mwana wa Mungu wa mbinguni"

Itoshe tu kusema Shujaa Magufuli Sisi Tuliokuaminia Tunatembea Vifua Mbele

Mungu wa mbinguni mbariki Mpendwa Tundu Antipas Lisu

Mlale Unono 😃😃🔥😀😄
 
Ukweli siku zote utabaki ukweli walikuwa wanamkubali kimoyomoyo sasa wanatamka hadharani!
 
You showed the entire country for a leader ,,, being like .....
That's is a gift , a real gift to get to a country like this , hard to get leader like you 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾......🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
images.jpeg





What you left behind , will cost a nation for a un-numbered years to come '!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
I expect this to be deleted in 2 minutes from now !!!!!!!!

Thank you in advance.....
 
Back
Top Bottom