Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Nimejitoa Sadaka kwa ajili ya Nchi yangu na Wananchi Wanyonge

Ndugu Zangu mzidi kuniombea

Hayo yalikuwa ni Maneno ya Shujaa Magufuli aliyokuwa akiyatamka mara kwa mara

Yesu akasema " enyi Wanawake wa Israel msinililie mimi jililieni Wenyewe na Watoto wenu

Jioni njema πŸ˜€
 
Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) limeshindwa kwenye kesi yake IPTL -Independent Power Tanzania Limited.

Hukumu hiyo imefikiwa mwisho wa wiki iliyopita ambapo World Bank tribunal (international centre for settlement of investment disputes.
ICSID imeamuru TANESCO kuilipa Standard Chartered Bank Hong Kong (SCB HK) kiasi cha dola za kimarekani milioni 148.40 pamoja na tozo riba.

SCB HK ndio walionunua mkopo wa IPTL kutoka bank ya Malaysia Danaharta kwa gharama ya dola za kimarekani milioni 76.1

Kwa habari zaidi soma the Guardian la leo:

My take.
Muda si mrefu tutasikia Tanzania yashindwa kesi na DP world yatakiwa kulipa trillioni 15.

Njia mpya iliyobuniwa na wajibu ndani ya serikali kuchota kodi za walala hoi, unasaini mkataba wa kijinga ambao ni kichaa tu anayeweza kuuvumilia alafu ukiulizwa unasema tumeshindwa kesi tulipeni tu.
 
Tumemmis sana magufuli.kwa sasa nchi imerudi nyuma kimaendeleo miaka 60nyuma.huyu samia ni hasara kabisa
 
Mwamba amelala ila mazuri yake tutayakumbuka milele.

Ni kichaa tu anaeweza kuyakubali.
Waliokubali hayo masharti ya DP World ni Vichaa.
 
Shujaa Magufuli amelala hawezi kujitetea kwa lolote lakini Mungu wa mbinguni anamtetea Sawasawa na Exodus 14:14

Sisi tuliomkubali Shujaa Magufuli kwa kazi zake na kuyavumilia mapungufu yake ya kibinadamu tunamshukuru sana Mungu wa mbinguni kwa zawadi ile ya Mtu yule John Pombe Joseph Magufuli

Na tutazidi kumshukuru Mungu wa mbinguni kwa kila udhihirisho atakaotuletea wa Nia Njema iliyojaa Moyoni mwake Shujaa Magufuli

Amen.

Mungu wa mbinguni awabariki πŸ˜€
 
Chadema walishafeli kupokea mlungula kwa jina la malidhiano ili wamtusi shujaa
 
Shujaa Magufuli amelala hawezi kujitetea kwa lolote lakini Mungu wa mbinguni anamtetea Sawasawa na Exodus 14:14

Sisi tuliomkubali Shujaa Magufuli kwa kazi zake na kuyavumilia mapungufu yake ya kibinadamu tunamshukuru sana Mungu wa mbinguni kwa zawadi ile ya Mtu yule John Pombe Joseph Magufuli

Na tutazidi kumshukuru Mungu wa mbinguni kwa kila udhihirisho atakaotuletea wa Nia Njema iliyojaa Moyoni mwake Shujaa Magufuli

Amen.

Mungu wa mbinguni awabariki πŸ˜€
Akili za watanzania utazijua tu! sasa hili nlao umeamka nalo. Mfuate shetani maguuli hguko al;iko akupe ukatibu mwenezi wa CCM
 
Shujaa Magufuli amelala hawezi kujitetea kwa lolote lakini Mungu wa mbinguni anamtetea Sawasawa na Exodus 14:14

Sisi tuliomkubali Shujaa Magufuli kwa kazi zake na kuyavumilia mapungufu yake ya kibinadamu tunamshukuru sana Mungu wa mbinguni kwa zawadi ile ya Mtu yule John Pombe Joseph Magufuli

Na tutazidi kumshukuru Mungu wa mbinguni kwa kila udhihirisho atakaotuletea wa Nia Njema iliyojaa Moyoni mwake Shujaa Magufuli

Amen.

Mungu wa mbinguni awabariki πŸ˜€
Zile kauli hazikuwa za CDM, ni kwamba kuna mtu wake wa karibu alishaanza kumnanga, jamii ikahoji na wewe tena unamsema vibaya kaka yako? Ndipo akashtuka, ili kuufikisha ujumbe aliokusudia ikabidi awapenyezee hao unaowalaumu wauseme na wala yeye hakusimama kuwaambia semeni mengine ila mwacheni kaka yangu apumzike
 
Shujaa Magufuli amelala hawezi kujitetea kwa lolote lakini Mungu wa mbinguni anamtetea Sawasawa na Exodus 14:14

Sisi tuliomkubali Shujaa Magufuli kwa kazi zake na kuyavumilia mapungufu yake ya kibinadamu tunamshukuru sana Mungu wa mbinguni kwa zawadi ile ya Mtu yule John Pombe Joseph Magufuli

Na tutazidi kumshukuru Mungu wa mbinguni kwa kila udhihirisho atakaotuletea wa Nia Njema iliyojaa Moyoni mwake Shujaa Magufuli

Amen.

Mungu wa mbinguni awabariki πŸ˜€
Ni kweli wameishiwa pumzi kabisa.
 
Ni wote, chadema, makamba, nape, msoga team nk.

Chadema wamegundua kwamba Magufuli ndie alikua na nia njema na hii nchi na sio ccm

Awali walipumbazika wakaungana na team mchwa kina makamba na wenzake kumponda Magufuli baadae wameelewa kwamba Magufuli hakua na shida, shida ilikua kwa ccm.

Magufuli kwa mema aliyoifanyia hii nchi kwa miaka 5 tu ya uongozi wake, itaishi miaka 10 ijayo na vizazi vingi vitamkumbuka.
 
Mwendazake hata angetenda mema milioni mbili, vitendo vyake vya kurudisha nchi kwenye darkness kwa watu kupotea na kuvunjia watu nyumba zao wakati huohuo akisema wa Mwanza wasivunjiwe kwasababu Ni wapiga kura wake. Vitendo hivi viovu haviwezi kumuweka karibu na malaika kamwe.
Kupoteza bread earner kwenye familia Kama Benny unadhani kunawaumiza wangapi na kuwafurahisha wangapi?
Kuvunja nyumba zangu bila fidia hakutaniwezesha Mimi kumuona MTU Yule Kama MTU mwema. Never. Aendelelee kukaa anapostahili.
 
Shujaa Magufuli amelala hawezi kujitetea kwa lolote lakini Mungu wa mbinguni anamtetea Sawasawa na Exodus 14:14

Sisi tuliomkubali Shujaa Magufuli kwa kazi zake na kuyavumilia mapungufu yake ya kibinadamu tunamshukuru sana Mungu wa mbinguni kwa zawadi ile ya Mtu yule John Pombe Joseph Magufuli

Na tutazidi kumshukuru Mungu wa mbinguni kwa kila udhihirisho atakaotuletea wa Nia Njema iliyojaa Moyoni mwake Shujaa Magufuli

Amen.

Mungu wa mbinguni awabariki [emoji3]
MAGUFULI ATASIMANGWA MILELE LABDA AFUFUKEE
 
Back
Top Bottom