Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Kupima samaki kwa rula
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NdiyoAnaefaa ni huyu aliewauza kwa wakomba zake?
Mbona alimtoa gerezani Nguza Viking (babu Seya)?..kwanini unatamani kiongozi katili na mbaguzi arudi?
Mbona alimtoa gerezani Nguza Viking (babu Seya)?
Kuua na kuteka watuView attachment 1734652
Picha: Hayati Rais Magufuli enzi uhai wake
This is a special thread and a tribute to the late J.P.M.
Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa bali ni Bwana hutuponya na mauti (Zaburi 33:16), yaliyoandikwa yametimia Mungu amlaze mahala pema peponi.
Hakika tutammiss, kama ule usemi usemao umuhimu wa mtu huonekana zaidi asipokuwepo.
Yafuatayo ni mambo aliyonikosha J. P. M (R. I. P).
1. Nidhamu kwenye taasisi za serikali, kuanzia matumizi, utendaji wa kazi na utoaji wa huduma.
2. Msimamo bila kujali nchi nyingine zimeamuaje, kimsingi maamuzi mengi yalifanywa kuzingatia maslahi ya nchi sio mkumbo ( i.e chanjo ya corona).
3. Super-Mega projects zenye maslahi ya muda mrefu, S.G.R, Nyerere, Mwendokasi n.k.
4. Kuwanyoosha majirani zetu walizoea kutuibia na kutuchezea michezo ya ajabu ajabu.
5. Kuleta siasa za kuambiana ukweli na sio za kubembelazana hovyo.
6. Kukomesha ujambazi na matukio ya kihalifu majumbani.
7.
Itaendelea...
PIA SOMA>> TANZIA - Rais John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar
Mkuu, umeenda mbali mno...labda alikuwa muumini wa mambo ya babu seya.
Mkuu, umeenda mbali mno.
Alidharau mahakama au katiba ilimruhusu?Mbona alimtoa gerezani Nguza Viking (babu Seya)?
Nyie wauaji wenzakeBasi yule Akida aliyekuwa amesimama pembeni akimuangalia Yesu Kristo pale Juu ya Msalaba alijipigapiga kifua akasema " Hakika Huyu Ni Mwana wa Mungu wa mbinguni...
Tundu Antipas Lisu anakwenda kuhiji Chato 😂😂😂🔥🔥Nyie wauaji wenzake