yvegenc prymacov
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 1,530
- 1,961
Mwehu ni wewe usiejitambua, ndio maana umegombana na mzazi wako.Y
Yule mwehu aliyeua uchumi nani amkumbuke. Hakuamini katika ajira za vijana kabisa ndoa zikaanza kusambaratika na ndoto za watu hasa graduates zikapotea kabisa. Mama anarudisha ndoto zao taratibu na kwa kuanzia tu tayari kaajiri walimu na madaktari elfu 13 na kila ukikatiza Sasa hivi kila Kona Kuna ajira zinamwagwa tu
Hatuzioni ndiyoMbona baadhi Yao mnao mpaka Leo kwenye uongozi huu? Taka zao hamzioni au utaka wao unawafaa kwa sasa?
Nafuu kuuzwa kwa waarabu kuliko kutawaliwa na DIKTETA wa ChatoTakataka ni wewe na wazazi wako!
Ndio maana Samia akingalia watu wenye akili mavi kama wewe anaishia kuwauza kwa warabu tu!
Ngoja waarabu watawale mtapigwa mtungo hadi mkome
Jinai haiozi iko siku watafunguliwa tuWakati umefika mkawafungulie kesi za jinai na mkatoe uthibitisho mahakamani why wapo nje? Napata ukakasi sana kuamini
Mataahira utayaona tu.Nafuu kuuzwa kwa waarabu kuliko kutawaliwa na DIKTETA wa Chato
Udikteta wa Chato ulikuwa ni upi tupe ufanunuzi mzuri paipo mihemko na ushabiki na chukiNafuu kuuzwa kwa waarabu kuliko kutawaliwa na DIKTETA wa Chato
Kwani sasahivi hiyo nyongeza ya mshahara na kupanda madaraja imeweza kulingana na mfumuko wa bei za bidhaa sasahivi si bora Magufuli aliyeweza kudhibiti mfumuko wa bei za bidhaa hata kama hakupandisha mishahara na madarajaKuwaweka wafanyakazi wa Uma miaka 7 bila nyongeza ya mshahara wala kupanda daraja. Hili haliwezi kusahaulika.
Chato ni Congo? Hapastahili maendeleo ukiwachunguza wanaopiga kelele kuhusu Chato ni hawa vyeti feki, walamba asali, majizi, wauza madawa ya kulevya wanatumia Chato kama kichaka cha kutoa povu la chuki zao1. Chato International Airport
2. Chato National Park
3. Trafic light Chato
4. 3 star hotel Chato (TANAPA)
5. Bohari ya kanda madawa Chato
6. Hospital ya rufaa Chato
7. Stadium (proposa)
8. CRDB Chato
9. Mahakama ya hadhi ya kanda
10. VETA hadhi ya kanda
11. Office za TANESCO hadhi ya juu
12. Office za Zimamoto
13. Mradi mkubwa wa Viwanja NHC
14. Shule ya kimataifa
Ndiyo maana alikufa kwa kuwa alikuwa hatustahili kuwa Rais wetuMataahira utayaona tu.
Wewe na nani?Ndiyo maana alikufa kwa kuwa alikuwa hatustahili kuwa Rais wetu
Anaefaa ni huyu aliewauza kwa wakomba zake?Ndiyo maana alikufa kwa kuwa alikuwa hatustahili kuwa Rais wetu
Naimejifunza kuhusu yasiyo tabirika, (uncertainty), kwenye biashara ambayo husabishwa na maamuzi ya kisiasa kwakifupi maamuzi ya kisiasa yanaweza sababisha biashara zikue ama zife kabisaView attachment 1734652
Picha: Hayati Rais Magufuli enzi uhai wake
This is a special thread and a tribute to the late J.P.M.
Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa bali ni Bwana hutuponya na mauti (Zaburi 33:16), yaliyoandikwa yametimia Mungu amlaze mahala pema peponi.
Hakika tutammiss, kama ule usemi usemao umuhimu wa mtu huonekana zaidi asipokuwepo.
Yafuatayo ni mambo aliyonikosha J. P. M (R. I. P).
1. Nidhamu kwenye taasisi za serikali, kuanzia matumizi, utendaji wa kazi na utoaji wa huduma.
2. Msimamo bila kujali nchi nyingine zimeamuaje, kimsingi maamuzi mengi yalifanywa kuzingatia maslahi ya nchi sio mkumbo ( i.e chanjo ya corona).
3. Super-Mega projects zenye maslahi ya muda mrefu, S.G.R, Nyerere, Mwendokasi n.k.
4. Kuwanyoosha majirani zetu walizoea kutuibia na kutuchezea michezo ya ajabu ajabu.
5. Kuleta siasa za kuambiana ukweli na sio za kubembelazana hovyo.
6. Kukomesha ujambazi na matukio ya kihalifu majumbani.
7.
Itaendelea...
PIA SOMA>> TANZIA - Rais John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar
Mama yenu atawapa muhesabu wenywe kura!Alivyotufanyia Magufuli
Shukrani lakini uzi unasema utamkumbuka Magufuli kwa lipi ??Mama yenu atawapa muhesabu wenywe kura!
Hilo bunge imara umeshaawahi kuliona tangu uzaliweArudi wakati aliyewajaza huko bungeni free of votes ni yeye, si mara mia angeondoka aache bunge imara leo usingelia.
Yeye aliamini katika yeye, na alijua hata bunge likijaa chama chake haina shida sababu ye yupo.
Udikteta na kuua watanzania. Kutoajiri na kusababisha jam ya wahitimu mtaani. Kutopandisha mishahara na kubana uhuru wa kiasiasa.View attachment 1734652
Picha: Hayati Rais Magufuli enzi uhai wake
This is a special thread and a tribute to the late J.P.M.
Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa bali ni Bwana hutuponya na mauti (Zaburi 33:16), yaliyoandikwa yametimia Mungu amlaze mahala pema peponi.
Hakika tutammiss, kama ule usemi usemao umuhimu wa mtu huonekana zaidi asipokuwepo.
Yafuatayo ni mambo aliyonikosha J. P. M (R. I. P).
1. Nidhamu kwenye taasisi za serikali, kuanzia matumizi, utendaji wa kazi na utoaji wa huduma.
2. Msimamo bila kujali nchi nyingine zimeamuaje, kimsingi maamuzi mengi yalifanywa kuzingatia maslahi ya nchi sio mkumbo ( i.e chanjo ya corona).
3. Super-Mega projects zenye maslahi ya muda mrefu, S.G.R, Nyerere, Mwendokasi n.k.
4. Kuwanyoosha majirani zetu walizoea kutuibia na kutuchezea michezo ya ajabu ajabu.
5. Kuleta siasa za kuambiana ukweli na sio za kubembelazana hovyo.
6. Kukomesha ujambazi na matukio ya kihalifu majumbani.
7.
Itaendelea...
PIA SOMA>> TANZIA - Rais John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar
Mwana WA Afrika mwenye mapenzi ya dhati na Nchi yake. Ingawa hapa Duniani hakuna aliyemkamilifu.Apumzike Kwa Amani
Umelielewa swali uliloniuliza? Wale wabunge wametokana na kura halali?Hilo bunge imara umeshaawahi kuliona tangu uzaliwe