Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Y

Yule mwehu aliyeua uchumi nani amkumbuke. Hakuamini katika ajira za vijana kabisa ndoa zikaanza kusambaratika na ndoto za watu hasa graduates zikapotea kabisa. Mama anarudisha ndoto zao taratibu na kwa kuanzia tu tayari kaajiri walimu na madaktari elfu 13 na kila ukikatiza Sasa hivi kila Kona Kuna ajira zinamwagwa tu
Mwehu ni wewe usiejitambua, ndio maana umegombana na mzazi wako.
 
Takataka ni wewe na wazazi wako!

Ndio maana Samia akingalia watu wenye akili mavi kama wewe anaishia kuwauza kwa warabu tu!

Ngoja waarabu watawale mtapigwa mtungo hadi mkome
Nafuu kuuzwa kwa waarabu kuliko kutawaliwa na DIKTETA wa Chato
 
Kuwaweka wafanyakazi wa Uma miaka 7 bila nyongeza ya mshahara wala kupanda daraja. Hili haliwezi kusahaulika.
Kwani sasahivi hiyo nyongeza ya mshahara na kupanda madaraja imeweza kulingana na mfumuko wa bei za bidhaa sasahivi si bora Magufuli aliyeweza kudhibiti mfumuko wa bei za bidhaa hata kama hakupandisha mishahara na madaraja
 
1. Chato International Airport
2. Chato National Park
3. Trafic light Chato
4. 3 star hotel Chato (TANAPA)
5. Bohari ya kanda madawa Chato
6. Hospital ya rufaa Chato
7. Stadium (proposa)
8. CRDB Chato
9. Mahakama ya hadhi ya kanda
10. VETA hadhi ya kanda
11. Office za TANESCO hadhi ya juu
12. Office za Zimamoto
13. Mradi mkubwa wa Viwanja NHC
14. Shule ya kimataifa
Chato ni Congo? Hapastahili maendeleo ukiwachunguza wanaopiga kelele kuhusu Chato ni hawa vyeti feki, walamba asali, majizi, wauza madawa ya kulevya wanatumia Chato kama kichaka cha kutoa povu la chuki zao
 
View attachment 1734652
Picha: Hayati Rais Magufuli enzi uhai wake

This is a special thread and a tribute to the late J.P.M.

Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa bali ni Bwana hutuponya na mauti (Zaburi 33:16), yaliyoandikwa yametimia Mungu amlaze mahala pema peponi.

Hakika tutammiss, kama ule usemi usemao umuhimu wa mtu huonekana zaidi asipokuwepo.

Yafuatayo ni mambo aliyonikosha J. P. M (R. I. P).

1. Nidhamu kwenye taasisi za serikali, kuanzia matumizi, utendaji wa kazi na utoaji wa huduma.

2. Msimamo bila kujali nchi nyingine zimeamuaje, kimsingi maamuzi mengi yalifanywa kuzingatia maslahi ya nchi sio mkumbo ( i.e chanjo ya corona).

3. Super-Mega projects zenye maslahi ya muda mrefu, S.G.R, Nyerere, Mwendokasi n.k.

4. Kuwanyoosha majirani zetu walizoea kutuibia na kutuchezea michezo ya ajabu ajabu.

5. Kuleta siasa za kuambiana ukweli na sio za kubembelazana hovyo.

6. Kukomesha ujambazi na matukio ya kihalifu majumbani.

7.

Itaendelea...

PIA SOMA>> TANZIA - Rais John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar
Naimejifunza kuhusu yasiyo tabirika, (uncertainty), kwenye biashara ambayo husabishwa na maamuzi ya kisiasa kwakifupi maamuzi ya kisiasa yanaweza sababisha biashara zikue ama zife kabisa
 
View attachment 1734652
Picha: Hayati Rais Magufuli enzi uhai wake

This is a special thread and a tribute to the late J.P.M.

Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa bali ni Bwana hutuponya na mauti (Zaburi 33:16), yaliyoandikwa yametimia Mungu amlaze mahala pema peponi.

Hakika tutammiss, kama ule usemi usemao umuhimu wa mtu huonekana zaidi asipokuwepo.

Yafuatayo ni mambo aliyonikosha J. P. M (R. I. P).

1. Nidhamu kwenye taasisi za serikali, kuanzia matumizi, utendaji wa kazi na utoaji wa huduma.

2. Msimamo bila kujali nchi nyingine zimeamuaje, kimsingi maamuzi mengi yalifanywa kuzingatia maslahi ya nchi sio mkumbo ( i.e chanjo ya corona).

3. Super-Mega projects zenye maslahi ya muda mrefu, S.G.R, Nyerere, Mwendokasi n.k.

4. Kuwanyoosha majirani zetu walizoea kutuibia na kutuchezea michezo ya ajabu ajabu.

5. Kuleta siasa za kuambiana ukweli na sio za kubembelazana hovyo.

6. Kukomesha ujambazi na matukio ya kihalifu majumbani.

7.

Itaendelea...

PIA SOMA>> TANZIA - Rais John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar
Udikteta na kuua watanzania. Kutoajiri na kusababisha jam ya wahitimu mtaani. Kutopandisha mishahara na kubana uhuru wa kiasiasa.
Yote haya Mama ameyarekebisha. Swali jingine bwana sukumagang?
 
Back
Top Bottom