El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
RIP Father of the nation..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mawazo ayko ndiyo yanayofanya tuzidi kudidimia. Nchi yoyote kama muda wote inategemea mtu mmoja tu kuleta mageuzi lazima itafeli kwa sababu akiondoka, anaondoka na yale mazuri yake. Sikatai kuwa kiongozi kama rais anaweza kuwa na influence kubwa kabisa kwenye mwelekeo wa nchi ila sambamba anatakiwa ajenge strong institutions.Nchi zetu za kiafrika huwa zinatakiwa kupata viongozi wababe na wabishi ili kufikia pale panapotakiwa.
Alikuwepo mwamba hapa, leo Moro - Dar mngekuwa mnatereza tu ila sasa mkampiga mawe na kila aina ya maneno ili aonekane fedhuri na mkafanya yenu dhidi yake.
Ila jana na leo kila mtu analia vile wanaona haibu kusema ukweli ila nafsi zinawasuta!.
Wewe sasa ndiyo ulete takwimu za mradi ili hoja yako iwe na mashiko.Hiyo 2021 mradi ulifikia asilimia ngapi?
Ngedere walipokuwa wanaenda kula mahindi, mwenye shamba alikuwa anawafukuza lakini wakati mwingine wanamvizia na kula. Msimu uliofuata wakasikia mwenye shamba kafariki! Ngedere wakafurahi sana na kufanya sherehe wakijua yule aliyekuwa anawakataza wasiibe kafariki na hivyo wataanza kula kwa starehe. Msimu ulipofika wakaenda wakakuta shamba halikulimwa na hakuna mahindi. Ndo wakakumbuka aliyekuwa analima hilo shamba ndo kafariki hivyo hata cha kuiba hamna! Too late watanzania! Aliyepo madarakani kawapa ruksa viongozi waliopewa dhamana wale kwa urefu wa kamba zao. Kwahiyo wanakwiba na kukomba kabisa hawabakizi kituWakati wa utawala wake mimi nilikuwa namchukia sana huyu mzee hasa kwa aina ya utawala wake
Lakini leo nimetafakari sana kama mwananchi wa kawaida na mkulima mdogo mdogo
Hali imekuwa ngumu sana sio kwa sisi wakulima/wajasiriamali pamoja na wafanyakazi wa serikalini haswa hawa ambao tunakuwa nao mitaani na vijiwe vya gahwa nakumbuka enzi ya mzee magu mbolea mfuko tulinunua 60k lakini tangu mama aingie madarakani hali imekuwa mbaya licha ya kujitahidi sijui kutoa ruzuku lakini wapi ilifikia kipindi mbolea tulinunua mpaka 120kwa mfuko mmoja na bado pia madukani ilikuwa chache
Jambo jinge sisi ambao tunatumia usafiri haswa hizi dala dala na mabasi kwenda wilaya kwa wilaya au mikoani hali imekuwa ngumu matajiri wa mabasi wanajipandishia nauli hovyo chombo ambacho tunakitegemea kuregulate hizi nauli kimekuwa kama hakina mfupa kabisa jana nilitoka maeneo fulani nauli tulizoea 1500 kwa kichwa
Nimepanda dala dala utingo amenikata 2500 badala ya 1500 yaani nauli imepanda kwa 100% hivi sisi wananchi wa hali ya chini tutasaidiwa na nani?
Mikopo ya halmashauri imegubikwa na rushwa na kujipendelea wenyewe tulitegemea ingesaidia vijana lakini hali imekuwa tofauti
Serikali tunayoitegemea chini ya chama chetu hiki imekuwa ikikumbatia matajiri kuliko sisi walalahoi tunakufa jamani viongozi kuanzia raisi, mawaziri,wabunge angalieni kama taifa hali ni ngumu
Pumzika kwa amani mzee Magufuli kuna mengi ulikuwa unayazungumza sisi kama kenge tulikuwa hatusikii sasa damu zinatutoka
Nisamee sana mzee
Walalahoi tutafute mahali pa kuishijuzi nimepanda daladala masaki/gongo la mboto
nauli imetoka 700,mpaka 900 na 1100.
yaani konda yuko na chart ya nauli,kutoka
pugu/masaki=1100
pugu/karume=900
masaki/gomz=1100
masaki/magereza==900
kifupi mama anataka kutuua.
Wakati wa utawala wake mimi nilikuwa namchukia sana huyu mzee hasa kwa aina ya utawala wake
Lakini leo nimetafakari sana kama mwananchi wa kawaida na mkulima mdogo mdogo
Hali imekuwa ngumu sana sio kwa sisi wakulima/wajasiriamali pamoja na wafanyakazi wa serikalini haswa hawa ambao tunakuwa nao mitaani na vijiwe vya gahwa nakumbuka enzi ya mzee magu mbolea mfuko tulinunua 60k lakini tangu mama aingie madarakani hali imekuwa mbaya licha ya kujitahidi sijui kutoa ruzuku lakini wapi ilifikia kipindi mbolea tulinunua mpaka 120kwa mfuko mmoja na bado pia madukani ilikuwa chache
Jambo jinge sisi ambao tunatumia usafiri haswa hizi dala dala na mabasi kwenda wilaya kwa wilaya au mikoani hali imekuwa ngumu matajiri wa mabasi wanajipandishia nauli hovyo chombo ambacho tunakitegemea kuregulate hizi nauli kimekuwa kama hakina mfupa kabisa jana nilitoka maeneo fulani nauli tulizoea 1500 kwa kichwa
Nimepanda dala dala utingo amenikata 2500 badala ya 1500 yaani nauli imepanda kwa 100% hivi sisi wananchi wa hali ya chini tutasaidiwa na nani?
Mikopo ya halmashauri imegubikwa na rushwa na kujipendelea wenyewe tulitegemea ingesaidia vijana lakini hali imekuwa tofauti
Serikali tunayoitegemea chini ya chama chetu hiki imekuwa ikikumbatia matajiri kuliko sisi walalahoi tunakufa jamani viongozi kuanzia raisi, mawaziri,wabunge angalieni kama taifa hali ni ngumu
Pumzika kwa amani mzee Magufuli kuna mengi ulikuwa unayazungumza sisi kama kenge tulikuwa hatusikii sasa damu zinatutoka
Nisamee sana mzee wangu
Ngedere walipokuwa wanaenda kula mahindi, mwenye shamba alikuwa anawafukuza lakini wakati mwingine wanamvizia na kula. Msimu uliofuata wakasikia mwenye shamba kafariki! Ngedere wakafurahi sana na kufanya sherehe wakijua yule aliyekuwa anawakataza wasiibe kafariki na hivyo wataanza kula kwa starehe. Msimu ulipofika wakaenda wakakuta shamba halikulimwa na hakuna mahindi. Ndo wakakumbuka aliyekuwa analima hilo shamba ndo kafariki hivyo hata cha kuiba hamna! Too late watanzania! Aliyepo madarakani kawapa ruksa viongozi waliopewa dhamana wale kwa urefu wa kamba zao. Kwahiyo wanakwiba na kukomba kabisa hawabakizi kituexpand...
Acha ituue tulipenda wenyeweNgedere walipokuwa wanaenda kula mahindi, mwenye shamba alikuwa anawafukuza lakini wakati mwingine wanamvizia na kula. Msimu uliofuata wakasikia mwenye shamba kafariki! Ngedere wakafurahi sana na kufanya sherehe wakijua yule aliyekuwa anawakataza wasiibe kafariki na hivyo wataanza kula kwa starehe. Msimu ulipofika wakaenda wakakuta shamba halikulimwa na hakuna mahindi. Ndo wakakumbuka aliyekuwa analima hilo shamba ndo kafariki hivyo hata cha kuiba hamna! Too late watanzania! Aliyepo madarakani kawapa ruksa viongozi waliopewa dhamana wale kwa urefu wa kamba zao. Kwahiyo wanakwiba na kukomba kabisa hawabakizi kitu
Hili jambo uliliona kabisa!He is our sons's legacy
Ametusaidia Mambo mengi.
JPM kafanya mengi makubwa kuliko Rais yeyote aliwewahi pita nakosa la kuandika kabisa vidole vinatetemeka, Nimelia Mimi leo
Naogopa nchi yetu inarudi shimoni
MUNGU TUANGALIE TENA WAJA WAKO
Hapana kufaa hatufi lakini tutanyooka..!!juzi nimepanda daladala masaki/gongo la mboto
nauli imetoka 700,mpaka 900 na 1100.
yaani konda yuko na chart ya nauli,kutoka
pugu/masaki=1100
pugu/karume=900
masaki/gomz=1100
masaki/magereza==900
kifupi mama anataka kutuua.
Kwani serikali ni nani...... Hizo hela alikuwa anazichukua yeye na je kwani raia huifanyia kazi serikali ili iwalipe.... Au mnajifanyia kazi nyie wenyewe... Kwanini uidai serikali kana kwamba ni mtu unaemfanyia kazi zake...Kuwaweka wafanyakazi wa Uma miaka 7 bila nyongeza ya mshahara wala kupanda daraja. Hili haliwezi kusahaulika.
Huyu aliyepo kawapa unafuu gani katika mishahara na nyongeza na ukilinganisha na ugumu wa maisha unaowakumba!Kuwaweka wafanyakazi wa Uma miaka 7 bila nyongeza ya mshahara wala kupanda daraja. Hili haliwezi kusahaulika.
Km kipindi yupo hai ulimchukia huna haja ya kuja kumlilia hapa mtu uliyemchukia.Wakati wa utawala wake mimi nilikuwa namchukia sana huyu mzee hasa kwa aina ya utawala wake
Lakini leo nimetafakari sana kama mwananchi wa kawaida na mkulima mdogo mdogo
Hali imekuwa ngumu sana sio kwa sisi wakulima/wajasiriamali pamoja na wafanyakazi wa serikalini haswa hawa ambao tunakuwa nao mitaani na vijiwe vya gahwa nakumbuka enzi ya mzee magu mbolea mfuko tulinunua 60k lakini tangu mama aingie madarakani hali imekuwa mbaya licha ya kujitahidi sijui kutoa ruzuku lakini wapi ilifikia kipindi mbolea tulinunua mpaka 120kwa mfuko mmoja na bado pia madukani ilikuwa chache
Jambo jinge sisi ambao tunatumia usafiri haswa hizi dala dala na mabasi kwenda wilaya kwa wilaya au mikoani hali imekuwa ngumu matajiri wa mabasi wanajipandishia nauli hovyo chombo ambacho tunakitegemea kuregulate hizi nauli kimekuwa kama hakina mfupa kabisa jana nilitoka maeneo fulani nauli tulizoea 1500 kwa kichwa
Nimepanda dala dala utingo amenikata 2500 badala ya 1500 yaani nauli imepanda kwa 100% hivi sisi wananchi wa hali ya chini tutasaidiwa na nani?
Mikopo ya halmashauri imegubikwa na rushwa na kujipendelea wenyewe tulitegemea ingesaidia vijana lakini hali imekuwa tofauti
Serikali tunayoitegemea chini ya chama chetu hiki imekuwa ikikumbatia matajiri kuliko sisi walalahoi tunakufa jamani viongozi kuanzia raisi, mawaziri,wabunge angalieni kama taifa hali ni ngumu
Umeme - sisi ambao tumeamua kujiajiri tukiegemea umeme kwa kazi zetu za kila siku imekuwa changamoto sana kutoboa unakuta unadaiwa TRA, Halmashauri, Tanroads hao wote macho yako kwako umefanya kazi hukufanya ikifika siku yao ya kulipa pango lao utalipa hakuna excuse unajikuta unawaza sana uminvest nguvu nyingi kwenye biashara yako lakini unachopata ni maumivu
Nakiri kabisa enzi ya utawala wa yule mzee nilifanya biashara bila changamoto yoyte lakini sasa ukinunua umeme kila mwezi mpya unakatwa 1500 je hii 1500 inayokatwa kila mwezi inaenda wapi?
Pumzika kwa amani mzee Magufuli kuna mengi ulikuwa unayazungumza sisi kama kenge tulikuwa hatusikii sasa damu zinatutoka
Nisamee sana mzee wangu
Mimi raia wa kawaida tu nilimua vipiKm kipindi yupo hai ulimchukia huna haja ya kuja kumlilia hapa mtu uliyemchukia.
Huo unaitwa unafiki!
Nyie ndio mliomuuwa!
😞😞😞Naogopa nchi yetu inarudi shimoni