kajunjumele
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 2,470
- 1,352
Wakati huo huo akiwaongezea Makato,..Kuwaweka wafanyakazi wa Uma miaka 7 bila nyongeza ya mshahara wala kupanda daraja. Hili haliwezi kusahaulika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati huo huo akiwaongezea Makato,..Kuwaweka wafanyakazi wa Uma miaka 7 bila nyongeza ya mshahara wala kupanda daraja. Hili haliwezi kusahaulika.
Si umesema ulikuwa unamchukia?Mimi raia wa kawaida tu nilimua vipi
Uliniona nikifurahi alipokufa? Au umetoa assumption za kitotoSi umesema ulikuwa unamchukia?
Kwa maana hiyo Alipokufa unayemchukia si ulifurahi pamoja na waliofurahi?
Ushiriki wako hapo ndipo ulipo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Longlive Papa Francis
Umenena John mbatizajiNawatakia Nyote Wapenda maendeleo na Walinzi wa Rasilimali za nchi Heri Ya Mwaka Mpya, 2024
Mungu awabariki Sana 😂
pombe na bangi hazitofautiani ladhaNASIKIA YULE MSANII WA NAIJERIA ASAKE ANA LALAMIKA WATANZANIA WANAMUIGA MPAKA NYWELE SASA SIKU AKIGEUKA SHOGA WATAKUBARI
ni kweli njia yake ilikuwa na niaMtanikumbuka.......!
Mfumuko wa bei ni wa kutisha kiasi kwamba ukimuona mtu anajenga sasa ujue yuko kwenye mrija wa ufisadi au ni kampuni fulani.
Sukari hakuna
Maji hakuna
Umeme hakuna
Bwawa la mtera halina maji licha ya kwamba mvua zimenyesha za kutosha na hakuna hatua zozote zinazochukuliwa.
Michango shuleni ni balaa na hakuna wa kukemea.
Maandamano ya chadema yamerudi kwa kasi na kilio kikubwa kwao ni kupanda kwa gharama za maisha! Sasa walishangilia ili iweje?