Si bora huyo?Rubbish, njia ya kupiga hela na kuwapa ndugu zake miradi ya ujenzi na yeye mwenyewe (Manyanga construction company). Think wide, magufulia alikuwa sacred Looter
Mimi nina akili zangu siyo kama wewe msukule, Magufuli aliwashikia akili, alipokufa amekufanazo.Sasa wewe kama huo.unaona ni ujinga embu jaribu kufikiria wewe utakuwa ni mjinga wa kiwango gani...just think.
maku ya kikongwe.Tatizo ni watu kutokuwa na akili kubwa na za kutosha. Magufuli?... kuna mtu mwenye akili zake anamkubali huyu mtu kweli?
Sasa hivi kama hujui ni kwamba haya matatizo tuliyonayo; uhaba wa dola, umeme, maji, sukari yalianzia kwa Magufuli kuvuruga mfumo wa uchumi uliokuwa unastawi vizuri sana kabla ya 2015.
Ni chenga ndogo kwa wajinga na imekubali kwelikweli, Samia hawezi kusema hayo kwani yeye alikuwa sehemu ya utawala mbovu wa Magu. Mambo ya kulipua na kulazimisha mambo na uongo mwingi ndio vinajihidhirisha sasa.
Nilitaka nikutie bonge la tusi ila nilivojua we ni mwalimu nimeona nitakua tu natupa tusi langu bureNafikiri waalimu wameelimika na hivyo sio rahisi mtu aliyeelimika kumkubali mtu kama Magufuli.
Utatukana kwa sababu wewe ni mburura, ungekuwa na hoja ungemjibu faziliNilitaka nikutie bonge la tusi ila nilivojua we ni mwalimu nimeona nitakua tu natupa tusi langu bure
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Sijui anaongea nini huyu mleta mada. Nadhani ni chawa pro max fulani hivi linaloishi Namanyere huko, hata halijui nchi iko ktk hali gani kwa sasa.Umeme mbona hakuna muda huu
Mangosha yamepata simu yanahorojoka tuSijui anaongea nini huyu mleta mada. Nadhani ni chawa pro max fulani hivi linaloishi Namanyere huko, hata halijui nchi iko ktk hali gani kwa sasa.
Kumetokea na hitilafu ktk gridi ya Taifa na sio kutokana na uzalishaji pungufu wa umeme.Umeme mbona hakuna muda huu
Mnakuza Sana mambo siye Wanachato tunawazoom tu....Wasiojulikana.
Mwishowe umeamua ubaki peke yako mjinga?Mimi nina akili zangu siyo kama wewe msukule, Magufuli aliwashikia akili, alipokufa amekufanazo.