Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Hakuwa na uwezo wowote zaidi ya wizi, uwongo na uuaji wa wakosoaji.Mwishowe umeamua ubaki peke yako mjinga?
Wenginewe wote tumechoshwa na mgao wa umeme uliokuwa umekomeshwa, rushwa, ufisadi wa kutisha sasa n.k
JPM ni wajinga wachache tu ambao wameendelea kupinga uwezo wake
Nafuu nibakie peke yangu lakini nimesimama kwenye ukweli. Kamwe siwezi kuwa msukule kama nyinyi