Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Watanzania walilia na kuomboleza kwa uchungu toka moyoni
 
Alikuwa Muamini
IMG-20240309-WA0144.jpg
 
Aliongeza nidhamu kazini japo nimegundua ilikuwa nidhamu ya woga. Hilo tu ndio nitamkumbuka mengine yote hovyo kwanza ndio aliasisi mfumo wa machawa ambao ndio wanasumbua hii nchi. Mpaka kwenye baraza la mawaziri wapo, matokeo yake nchi ina piga mark Time haiendi mbele kwa hilo pia sitasahau
 
Kukataa misaada isiyokuwa na kichwa wala miguu kama ambao tumepokea wa Michele na soya. Pia kusema asiyefanya kazi asile
 
Rais Samia kupitia Ukurasa wake wa X amemwomba Mungu wa Mbinguni azidi kumjalia Pumziko la Amani Shujaa Magufuli

Naibu waziri mkuu Dr Biteko na RC Shigella wameungana na familia ya Shujaa Magufuli Katika misa ya Kumbukizi

Waziri wa Kilimo mh Bashe kupitia Ukurasa wake wa X amemkumbuka Shujaa Magufuli

Ni hayo tu

Mlale Unono 😀
 
Back
Top Bottom