Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
Watanzania walilia na kuomboleza kwa uchungu toka moyoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna uzalendo wowote huwezi kuwa mzalendo huku unamtesa anayekukosoaAlikuwa mzalendo mwenye kuifikiria nchi yake View attachment 2936988
Mpaka leo pesa za plebargain haijulikani zipo wapiKupokonya pesa za wafanya biashara kibabe kupitia DPP
Mama kaleta wali wenye virutubisho nenda kale tukuombe,Hakuna uzalendo wowote huwezi kuwa mzalendo huku unamtesa anayekukosoa
Mama kanunua wali wenye virutubisho Ili mle mnenepe nyonga.Mpaka leo pesa za plebargain haijulikani zipo wapi
Nashangaa sana wanaomuita huyu jamaa. Mzalendo sijui wanatumia akili zipi.
Tunaagiza ngano toka Ukraine toka enzi za mkapa vipi ulishahoji ubora wake?Mama kanunua wali wenye virutubisho Ili mle mnenepe nyonga.
AiseeGreat Thinkers.
Nilimkunali sana huyu mwamba. Leo nahisi kila mtu anamkumbuka. Kw kwelo leo status za watu wengi ilikuwa ni Magufuli jamaa mchapakazi aliyechukia uvivu..
View attachment 2937505