Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Mwishowe umeamua ubaki peke yako mjinga?

Wenginewe wote tumechoshwa na mgao wa umeme uliokuwa umekomeshwa, rushwa, ufisadi wa kutisha sasa n.k

JPM ni wajinga wachache tu ambao wameendelea kupinga uwezo wake
Hakuwa na uwezo wowote zaidi ya wizi, uwongo na uuaji wa wakosoaji.

Nafuu nibakie peke yangu lakini nimesimama kwenye ukweli. Kamwe siwezi kuwa msukule kama nyinyi
 
magufuri,,huko uliko mungu akubariki na akuondolee dhambi zote,hapa duniani wale uliowapa ulajai ndo mabingwa wakukunanga lakini sisi tunawaona,,naamini maisha Yao yaliyobaki ni mafipi ma watakuiuta ahrea akiwemo mzee makamba na ikwete.
tangia uhamishie makao makuu Dodoma ,sasa mabasi ayanaoenda kigoma ,,karagwe,, mwanzayaaanaza safari join na mengine asubhi hivyo kufanya Barbara kuwa busy.Asnte sana
 
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza, taifa linaelekea kuadhimisha sherehe ya miaka mitatu tangu JPM afariki, utamkumbuka kwa lipi?
 
4the pain I gained, we wouldn't had a president at that time!, but 4 now we have!
Wewe sbb ya wizi wako ndo maana unasema hivyo.Wakati wa jiwe nchi ilikiwa na nidhamu,hata watu wakawaida walitjaminiwa na kupewa huduma Bora kwenye taasisi za serikali kuliko sasa
 
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza, taifa linaelekea kuadhimisha sherehe ya miaka mitatu tangu JPM afariki, utamkumbuka kwa lipi?
1.Rais mzalendo
2. Mchapa kazi
3. Mwenye akili kubwa ya kufikiri
4. Rais aliyewapenda Watanzania na Tanzania
"Namimi nataka niseme Watanzania mtanikumbuka na mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya kwasababu nimesacrifice maisha yangu kwa wananchi masikini"
 
Wewe sbb ya wizi wako ndo maana unasema hivyo.Wakati wa jiwe nchi ilikiwa na nidhamu,hata watu wakawaida walitjaminiwa na kupewa huduma Bora kwenye taasisi za serikali kuliko sasa
Ulifurahia watu kunyanganywa fedha zao?.... (wanyanganyi)
 
Uovu haulipi, yuko wapi sasa
Kifo ni haki kwa muovu na mwema! Tuone ikiwa wewe mtu mwema utakwepa kifo!

Unapokuja kwenye kusherehekea kifo cha unachodhani ni cha mtu muovu, basi jiandae pia kushrehekea kifo hichohicho kwa mtu mwema

Watu wenye akili kubwa, hawaezi kukaa kujadili na kuoneshwa kufurahia kifo cha...wa kati huo huo na wao wanajua watakufa!
 
JPM ni mtu atakaye kumbukwa miaka zaidi ya miambili mbele na zaidi, kwa sababu moja tu, alikitendea haki kiti cha Urais na hakuogopa kufa mbali na vitisho vya maadui wake ndani na nje

Na tunaposema maadui wa ndani, ni hawa mafisadi, na kiongozi yeyote mwenye kudili na mkondo wa mafisadi, ni dhahiri anahatarisha maisha yake

Lakini hatuachi kumwomba Mungu ili atupatie tena kiongozi mithili ya Hayayi JPM na wanausalama wema na wapenda haki pamoja na nchi yao, watahakikisha mtu huyo anakuwa salama wakati wote

Mungu ibariki TANZANIA
 
  • Hatukuwa na uhaba wa dollar
  • Hatukuwa na uhaba wa umeme
  • Hatukuwa na ufisadi uliokithiri
  • Hatukuwa na huduma mbovu kwenye ofisi za umma
 
Back
Top Bottom