Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Si bora huyo?Rubbish, njia ya kupiga hela na kuwapa ndugu zake miradi ya ujenzi na yeye mwenyewe (Manyanga construction company). Think wide, magufulia alikuwa sacred Looter
Hao wengine wanakula huku wanakukamua kodi kila kona wakiita kodi ya jengo!
Nauli juu
Mafuta juu
Vyakula juu
Vifaa vya ujenzi ndio balaa
Sukari ndio kama hivyo.
Mwishowe hata jamaa yako atashindwa kukupanda sababu ya stress
Upo hapo dada?