Haita tokea katika bara la Afrika Kiongozi aliye kaa Madarakani kwa muda wa miaka 5 na kuweza kuleta maendeleo kama hayo. Mungu amsamehe makosa yake ameweza ,Amedhubutu kwa vitendo kiongozi imara aliyeipenda nchi yake Tumempoteza Shujaa wetu barani Afrika Hayati Rais Doctor Magufuli Mungu apumzishe roho yake kwa amani amin.

 
TUTAKUKUMBUKA SIKU ZOTE KATIKA MAISHA YETU MZEE WETU KIONGOZI WETU SHUJAA WETU MTETEZI WA WANYONGE MUNGU AKUWEKE MAHALI PEMA NA AKUSAMEHE MAKOSA YAKO RIP DOCTOR MAGUFULI AMIN.


Your browser is not able to display this video.
 
Ngoja mafisadi na vyeti feki waje
 
Kwani chato sio tanzania hapastahili maendeleo?
 
Nafasi ya kwenda peponi yaani kwenda mbinguni muumini mwenzetu Mh sana Yohani Magufuli ameishika muumini mwenzie wa kanisa katoliki Mukatukumeni Tundu Lissu, Nduguze Magufuli wamwone TUNDU LISU kwa njia ya kitubio amsamehe Magufuli kwa yale aliyomtendea akiwa duniani.

Vinginevyo bila Tundu Lissu kumsamehe Magufuli kabla ya Tundu LISSU hajaondoka duniani basi Magufuli atakutwa tohorani alipo mpaka sasa. Mtahani kabuli, mtaweka malumalu, mtaweka mauwa yote ni bure funguo za pepo za Magufuli anazo Tundu LIssu


Habari zimfikie Mafene mkopeshaji wa Mpwapwa
atazungumza sana na kukaza misuli ya shingo kumtetea katili yule Magufuli utetezi wake ni bure sisi wakatoliki wabobezi tunajua kabisa Magufuli ana hoja ya kujibu mbele ya mungu kwa risasi zile alizomiminiwa na watesi wake

MWANGA WA MILELE UMWANGAZIE TUNDU LISSU EE BWANA.
 
Mungu ndie ajuaye kila liendalo kutokea mapenzi yasikutie upofu haya tupe fact Magufuli alipothibitishwa kumtendea huo uovu!
 
Mkuu Hizo ni strong allegation kwa Magufuli..
Kama Zikithibitika Si kweli bhasi utaingia kwenye kosa la Defamation
 
Umechelewa sana kujua hilo mkuu.

Magufuli anakumbukwa na watu wote wenye akili, wanaoipenda nchi yao na wanaotazamia mbali kuhusu vizazi vyao.
Nimechelewa sana. Nimegundua watu wa propaganda na wazee wa kutuaminisha Magu alikuwa mwehu walifanikiwa sana kutudanganya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…