Jukumu nambamoja la Serikali yoyote duniani ni kuwajengea+kuwaboreshea wananchi wake miundombinu. Huo ni wajibu sio hisani au zawadi kwasababu kodi ndiyo inayotumika....hata huko sudan,ukraine,palestine wanapopigana vita bado miundombinu kama barabara,reli ipo πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hapo kububujikwa na machozi ushaanza kumuiga chawa mfawidhi Lucas de mwashambwa l.

Lucas Mwashambwa
 
Hv na w una uhakika ndo sperm iloshinda mbegu zingine.

Maza bora angepiga tu bj
 
Ni jambo jema. Ila wasiihujumu tu. Wasimamie vema.

Mbona Kadogosa naye hapewi credit. Mwamba ni miongoni waliosiosimamia na wanaendelea kusimamia mradi vizuri.
 
Kwa hakika Rais Samia anastahili pongezi kubwa sana kwa namna alivyo kamilisha miradi Mikubwa ndani ya muda mfupi sana wa uongozi wake.Tuna kila sababu ya kumpatia miaka mitano mingine ili kuifanya Tanzania kuwa kama Dubai
 
Abiria 4000 hayo mabasi 200 +
 
Wasiwasi wangu mkubwa ni hujuma za kina shabiby, abood ,bm ,aliseyd wasafirishaji wa routes za Dar-Moro , Dar-Dodoma sidhan kama wapo tayari ku paki mabasi yao wanayo nunua kwa mafungu mungu tu aingilie kati
 
Mama na yeye atengeneze maono yake ili wenzie nao wakija wamalizie.
 
Wasiwasi wangu mkubwa ni hujuma za kina shabiby, abood ,bm ,aliseyd wasafirishaji wa routes za Dar-Moro , Dar-Dodoma sidhan kama wapo tayari ku paki mabasi yao wanayo nunua kwa mafungu mungu tu aingilie kati
Hata mm linanifikirisha sana especial nikikumbuka ufufuaji wa reli ya Moshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…