Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 6,432
- 25,646
Ila john una mada chokonozi sana.
Eti "abiria wabubujikwa na machozi wakimkumbuka shujaa Magufuli".
Eti "abiria wabubujikwa na machozi wakimkumbuka shujaa Magufuli".
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Machozi ya furaha R.I.P shujaa WA africa"mamilioni ya abiria wabubujikwa na machozi"
treni nzima wanalia.
Anayependwa na mazuzu na washirikina.Magufuli the Great. Huyu ni genius anayechukiwa na vilaza, wezi, majambazi, vyeti feki na wapiga dili.
Jukumu nambamoja la Serikali yoyote duniani ni kuwajengea+kuwaboreshea wananchi wake miundombinu. Huo ni wajibu sio hisani au zawadi kwasababu kodi ndiyo inayotumika....hata huko sudan,ukraine,palestine wanapopigana vita bado miundombinu kama barabara,reli ipo 😂😂Treni ya SGR yasafirisha Abiria 4000 kwenda na kutoka Dodoma na inasemekana ticket za hadi tarehe 1 August zinakaribia kujaa
Abiria wamepongeza sana Usafiri huo wa kisasa wengine wakisema hawakuamini kama Ndoto ya Shujaa Magufuli na Mpendwa Wetu Mh Rais Samia ingetimia
Credit: EAradio FM
Mlale Unono 😀😀
Kwako Lucas 😂
Yani milion 160 kwa siku ni pesa nyingi kwa serikali ujaweka ghalama za uendeshaji?inaingiza pesa nyingi sana kwa siku. Ni mojawapo ya chanzo kizuri cha mapato ya serikali.
Hapo kububujikwa na machozi ushaanza kumuiga chawa mfawidhi Lucas de mwashambwa l.Treni ya SGR yasafirisha Abiria 4000 kwenda na kutoka Dodoma na inasemekana ticket za hadi tarehe 1 August zinakaribia kujaa
Abiria wamepongeza sana Usafiri huo wa kisasa wengine wakisema hawakuamini kama Ndoto ya Shujaa Magufuli na Mpendwa Wetu Mh Rais Samia ingetimia
Credit: EAradio FM
Mlale Unono 😀😀
Kwako Lucas 😂
Hv na w una uhakika ndo sperm iloshinda mbegu zingine.SGR ya umeme ya Tz ni moja ya miradi ya uti wa mgongo wa maendeleo ya nchi yetu, dunia nzima inashangaa TZ imewezaje? TZ tunae Rais kweli kweli, Mama yetu Samia..!!🙏🙏🇹🇿🇹🇿💚🟢✅🟩🇹🇿
Ni jambo jema. Ila wasiihujumu tu. Wasimamie vema.SGR ya umeme ya Tz ni moja ya miradi ya uti wa mgongo wa maendeleo ya nchi yetu, dunia nzima inashangaa TZ imewezaje? TZ tunae Rais kweli kweli, Mama yetu Samia..!!🙏🙏🇹🇿🇹🇿💚🟢✅🟩🇹🇿
Kwani ni uwongo? Eti nalo dogo li adriz lilibubujikwa na machozi.Ila john una mada chokonozi sana.
Eti "abiria wabubujikwa na machozi wakimkumbuka shujaa Magufuli".
Abiria 4000 hayo mabasi 200 +Treni ya SGR yasafirisha Abiria 4000 kwenda na kutoka Dodoma na inasemekana ticket za hadi tarehe 1 August zinakaribia kujaa
Abiria wamepongeza sana Usafiri huo wa kisasa wengine wakisema hawakuamini kama Ndoto ya Shujaa Magufuli na Mpendwa Wetu Mh Rais Samia ingetimia
Credit: EAradio FM
Mlale Unono 😀😀
Kwako Lucas 😂
Wasiwasi wangu mkubwa ni hujuma za kina shabiby, abood ,bm ,aliseyd wasafirishaji wa routes za Dar-Moro , Dar-Dodoma sidhan kama wapo tayari ku paki mabasi yao wanayo nunua kwa mafungu mungu tu aingilie katiTreni ya SGR yasafirisha Abiria 4000 kwenda na kutoka Dodoma na inasemekana ticket za hadi tarehe 1 August zinakaribia kujaa
Abiria wamepongeza sana Usafiri huo wa kisasa wengine wakisema hawakuamini kama Ndoto ya Shujaa Magufuli na Mpendwa Wetu Mh Rais Samia ingetimia
Credit: EAradio FM
Mlale Unono 😀😀
Kwako Lucas 😂
Mama na yeye atengeneze maono yake ili wenzie nao wakija wamalizie.SGR ya umeme ya Tz ni moja ya miradi ya uti wa mgongo wa maendeleo ya nchi yetu, dunia nzima inashangaa TZ imewezaje? TZ tunae Rais kweli kweli, Mama yetu Samia..!!🙏🙏🇹🇿🇹🇿💚🟢✅🟩🇹🇿
Hata mm linanifikirisha sana especial nikikumbuka ufufuaji wa reli ya MoshiWasiwasi wangu mkubwa ni hujuma za kina shabiby, abood ,bm ,aliseyd wasafirishaji wa routes za Dar-Moro , Dar-Dodoma sidhan kama wapo tayari ku paki mabasi yao wanayo nunua kwa mafungu mungu tu aingilie kati
Aliyetekeleza ndoto ndio shujaa. Aliyeota kaota tu🏌️Magufuli the Great. Huyu ni genius anayechukiwa na vilaza, wezi, majambazi, vyeti feki na wapiga dili.