Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Treni ya SGR yasafirisha Abiria 4000 kwenda na kutoka Dodoma na inasemekana ticket za hadi tarehe 1 August zinakaribia kujaa

Abiria wamepongeza sana Usafiri huo wa kisasa wengine wakisema hawakuamini kama Ndoto ya Shujaa Magufuli na Mpendwa Wetu Mh Rais Samia ingetimia

Credit: EAradio FM

Mlale Unono 😀😀

Kwako Lucas 😂
Jukumu nambamoja la Serikali yoyote duniani ni kuwajengea+kuwaboreshea wananchi wake miundombinu. Huo ni wajibu sio hisani au zawadi kwasababu kodi ndiyo inayotumika....hata huko sudan,ukraine,palestine wanapopigana vita bado miundombinu kama barabara,reli ipo 😂😂
 
Lucas Mwashambwa njoo huku utuletee ripoti ya wananchi wanaobubujikwa machozi wakimshukuru mama kwa kukamilisha huu mradi
1000011333.jpg
 
Treni ya SGR yasafirisha Abiria 4000 kwenda na kutoka Dodoma na inasemekana ticket za hadi tarehe 1 August zinakaribia kujaa

Abiria wamepongeza sana Usafiri huo wa kisasa wengine wakisema hawakuamini kama Ndoto ya Shujaa Magufuli na Mpendwa Wetu Mh Rais Samia ingetimia

Credit: EAradio FM

Mlale Unono 😀😀

Kwako Lucas 😂
Hapo kububujikwa na machozi ushaanza kumuiga chawa mfawidhi Lucas de mwashambwa l.

Lucas Mwashambwa
 
SGR ya umeme ya Tz ni moja ya miradi ya uti wa mgongo wa maendeleo ya nchi yetu, dunia nzima inashangaa TZ imewezaje? TZ tunae Rais kweli kweli, Mama yetu Samia..!!🙏🙏🇹🇿🇹🇿💚🟢✅🟩🇹🇿
Hv na w una uhakika ndo sperm iloshinda mbegu zingine.

Maza bora angepiga tu bj
 
SGR ya umeme ya Tz ni moja ya miradi ya uti wa mgongo wa maendeleo ya nchi yetu, dunia nzima inashangaa TZ imewezaje? TZ tunae Rais kweli kweli, Mama yetu Samia..!!🙏🙏🇹🇿🇹🇿💚🟢✅🟩🇹🇿
Ni jambo jema. Ila wasiihujumu tu. Wasimamie vema.

Mbona Kadogosa naye hapewi credit. Mwamba ni miongoni waliosiosimamia na wanaendelea kusimamia mradi vizuri.
 
Kwa hakika Rais Samia anastahili pongezi kubwa sana kwa namna alivyo kamilisha miradi Mikubwa ndani ya muda mfupi sana wa uongozi wake.Tuna kila sababu ya kumpatia miaka mitano mingine ili kuifanya Tanzania kuwa kama Dubai
 
Treni ya SGR yasafirisha Abiria 4000 kwenda na kutoka Dodoma na inasemekana ticket za hadi tarehe 1 August zinakaribia kujaa

Abiria wamepongeza sana Usafiri huo wa kisasa wengine wakisema hawakuamini kama Ndoto ya Shujaa Magufuli na Mpendwa Wetu Mh Rais Samia ingetimia

Credit: EAradio FM

Mlale Unono 😀😀

Kwako Lucas 😂
Abiria 4000 hayo mabasi 200 +
 
Wasiwasi wangu mkubwa ni hujuma za kina shabiby, abood ,bm ,aliseyd wasafirishaji wa routes za Dar-Moro , Dar-Dodoma sidhan kama wapo tayari ku paki mabasi yao wanayo nunua kwa mafungu mungu tu aingilie kati
 
SGR ya umeme ya Tz ni moja ya miradi ya uti wa mgongo wa maendeleo ya nchi yetu, dunia nzima inashangaa TZ imewezaje? TZ tunae Rais kweli kweli, Mama yetu Samia..!!🙏🙏🇹🇿🇹🇿💚🟢✅🟩🇹🇿
Mama na yeye atengeneze maono yake ili wenzie nao wakija wamalizie.
 
Wasiwasi wangu mkubwa ni hujuma za kina shabiby, abood ,bm ,aliseyd wasafirishaji wa routes za Dar-Moro , Dar-Dodoma sidhan kama wapo tayari ku paki mabasi yao wanayo nunua kwa mafungu mungu tu aingilie kati
Hata mm linanifikirisha sana especial nikikumbuka ufufuaji wa reli ya Moshi
 
Back
Top Bottom