Umenikumbusha kuhusu watu kuondoka mjini yaani kukimbia mjini
 
Hivi unajua ulichoandika?
 
Ni kweli wezi na mafisadi mlikua mnakwenda kuzimu sasa mnajiachia tu kuiba kama kawaida yenu.
 
Weee mwehu!
 
Utaongea mengi kama mwanadam ila Hayati alisema Mtamkumbuka yaani mpaka na Lisu pamoja na zile risasi anamkumbuka kwa mema sio mabaya maana yake nini nawewe humu utamkumbuka hakuna siasa za vyama vingi kakojowe kalale ccm mbele kwa mbele aka chama dola
 
Nauliza tu Kwa sababu kila mmoja anasema lake

Ni Kweli sasa watu wengi Wana fedha na mahekalu yanajengwa kila kona

Lakini ni ukweli pia Viongozi Wote Wakuu wanalalamika Kodi kuingia kwenye mifuko ya watu binafsi, Fedha za tumbaku kuliwa na Watumishi wa Halmashauri kufuja Fedha za Umma

Tatizo ni nini hasa? 🐼

Chadema mlale Unono 😀
 
Magufuli hakustahili kuwa rais. Hakunua ikulu yupo pale kufanya nini ndo mana alikuwa anapuyanga kila kitu. Thanks mama kumproove wrong
 
Laiti ungejua hali ya uchumi saiz kuwa ni ngumu zaid ya awamu zote usingeandika haya
 
Jemedari alikuwa KIBOKO YA WEZI, MAFISADI, WALAFI, WAROHO, MIJIZI nk nk nk
 
Wezi wako kila sehemu, hata humu wapo,sema mkono wa sheria ukikukamata unaiba usiseme tu mbona flani nae anafanya kama mimi!? Za mwizi ni 40 wwe pambana na Jinai yako!!
 
Magufuli hakustahili kuwa rais. Hakunua ikulu yupo pale kufanya nini ndo mana alikuwa anapuyanga kila kitu. Thanks mama kumproove wrong
Tupe chanzo cha mapato yako!ujuwe Mungu ana kuona!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…