He assassinated you mleta mada but thank God you were ressurected on the third day!🀣
 
Kunayo mengi zaidi ya hapo.Ila wale fukara wa Mali na akili hawawezi kukuelewa.eg aliharibu bei za mazao ya Kilimo kisa migogoro na majirani na kuvuruga diplomasia πŸ˜‚πŸ˜‚

Alifukuzwa uwekezaji kisa kupora hela za watu Kwa kubambikia kesi za Kodi yaani it was vurugu tupu.

Sema nini Mungu Aliwahi kumchukua angemuacha Kwa miaka hii mingine watu waonje moto sawa sawa Ili next time wasijue chagua mtu Kwa mihemko.
 
All recommendations has to be in English language.
If you don't have enough vocabularies keep distance.
You meant all comments? Recommendations are quiet different from thread related comments.
 
Tutakukumbuka daima,
1. Ndege 11 ATC,
2. SGR,
3. Mwl Nyerere dam,
4. Rushwa
 
Ni kama Uchafu wa Benja ulivyofanya Mrisho aonekane msafi nadhani kinachoendelea kinafanya hata zile Propaganda za John zionekane kwamba huenda alichokuwa anasema kilikuwa na ukweli... i.e. Maiti zinazidiana kunuka...
 
Tanzania ingekuwa mbali kiuchumi,Treni ya SGR ingekuwa imefika Mwanza,Selikari yote ingekuwa imehamia Dodoma, Magereza yangekuwa yamejaa wahujumu uchumi,rushwa ingekuwa imekwisha kabisa,wanyonge ndiyo wangekuwa wanaongoza inchi,
Ongezea na ya kwako,,,,
 
Huwenda tusingekuwa tumefika hapo kama taifa , ila naamini kuna sehemu tungekuwa pa heri kuliko sasa.

Kitu tungecho kuwa cha kujivunia asingetuachia aina ya viongozi tulio nao sasa.
 
Ni kweli miradi ingekuwa imekwenda kwa kasi sana. Labda na mingine angekuwa kaanzisha. Maana Magu kwa miradi ya ujenzi alikuwa πŸ’―πŸ’―πŸ’―πŸ’―πŸ’―

Wanachi wangekuwa hoiii, bin taabani. Hali mbayaaaa na kukata tamaa.

Deni la taifa lingekuwa kubwa vibaya mnooo, maana alikiwa hajui kukopa vizuri.

Hali ya ajira ingekuwa mbayaaaa zaidi.

Watu wangekuwa hawaaminiani kabisa, hata stori za siasa kwenye daladala zisingekuwepo.

Watu wanaopotea wanagekuwa ni stori za kawaida na mauaji ya rejareja. Kungekuwa na genge la kina Sabaya linatamba au magenge kama ya kina Sabaya kama 200.


Watu wa karibu na Magufuli kama Mnyeti, Makonda, Ally Happi, Dotto, Sabaya, Kijazi, Mfugale wangekuwa ndio mabilionea wa kutisha nchi hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…