Hili taulo limeshadondoka mbele za wakwe mkuu, kimbilia chumbani ooh! hii report ya leo mimi hata siamini kabisa.
 
Kuna mtiririko Well designed kuharibu image yake ....
 
“Nilibaini kuwa wakala wa ndege za Serikali ililipa bilioni 3.92 Kama gharama za matengenezo makubwa ya ndege. Baada ya ziara nilibaini ndege ilikuwa haifanyi kazi toka 2015.” CAG.

Hahahaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂.
 
Kupata hasara sio jambo la kujisifia. Kupata hasara sio mashindano.

Kama mke wa jirani yako kaliwa juzi naww mkeo akiliwa leo na mchepuko utaleta uzi wa kumsifia hapa?

Acheni mambo ya kijinga, umaskini sio sifa.

uwe unafanya tafiti kabla ya kujibu jambo.

unadhani mjinga ni nani hapa kati yako na mleta mada???

kwahiyo ukiua mkeo kisa kachepuka,halafu usikie jirani naye juzi wake alichepuka utajisikiaje!!!
 
Wewe unaona kupata hasara ndiyo ujanja?

Unaelewa Marekani ndiyo nchi iliyoanzisha usafiri wa ndege, na leo hii haina shirika la ndege la taifa.

Unafikiri hao Wamarekani ni wajinga?

ila UFIPA bana mna tabu sana,halafu ukute wewe ni mwanaume wa mtu[emoji28].

marekani wamepata uhuru miaka 400 iliyopita,wamepata mapinduzi ya viwanda miaka 200 iliyopita,unakuja kuitolea mfano hapa!!!!

tatizo siasa zimekula vichwa,mmekuwa kama kuku.
 
Huyu ni Contractor tuu, na amejaza foreigners na vibali hawana..

Unalisemeaje hili..?
 
Ukiona umepata hasara katika biashara yako, na suluhu yake ikawa ni kufunga biashara hiyo, ujue wewe ni MJINGA kwa kiwango cha kimataifa.
Anayepata faida leo katika biashara yake, ujue alipata hasara mara kadhaa kabla lakini hakukata tamaa, isipokuwa aliongeza maarifa.
Tunakwenda wapi sasa?
 
Hivi mnaemkumbuka Mtupoli si mjiue tu mkazikwe Chato.
Sisi tutamkumbuka kwa WIZI utapeli, mateso na mauaji.
Inatosha tumelimia meno kwa miaka 6.
 
Magufuli ni dhalimu tu ambaye ameivuruga sana Tanzania, thanks 🙏🏾 God for his decision to take him out in order to rescue our beloved country.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…