Muju4
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 5,489
- 7,446
Hili taulo limeshadondoka mbele za wakwe mkuu, kimbilia chumbani ooh! hii report ya leo mimi hata siamini kabisa.Shirika la ndege la Kenya limepata hasara zaidi ya Bilioni 800 ila bado linaendelea na shughuli zake kama kawaida.
Ni shirika kongwe ambalo limekuwepo toka miaka ya 70.
Shirika changa la ndege la Tanzania limepata hasara ya Bil. 60 wanataka wasitishe ununuaji wa ndege.
Magufuli amekufa na ndoto yake ya kuifanya Tanzania taifa kubwa Afrika lenye uchumi mkubwa.
Hakika tutamkumbuka huyu kiongozi.