Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Shirika la ndege la Kenya limepata hasara zaidi ya Bilioni 800 ila bado linaendelea na shughuli zake kama kawaida.

Ni shirika kongwe ambalo limekuwepo toka miaka ya 70.

Shirika changa la ndege la Tanzania limepata hasara ya Bil. 60 wanataka wasitishe ununuaji wa ndege.

Magufuli amekufa na ndoto yake ya kuifanya Tanzania taifa kubwa Afrika lenye uchumi mkubwa.

Hakika tutamkumbuka huyu kiongozi.
Wewe uwezacho ni kujifananisha na Kenya tuu? Wamekufanyaje ukawaona wamaana sana? Kwahivyo tuendelee mpaka nasisi tuvuke hiyo b 800 yao? Mkeo akipitiwa na wanaume wawili hutakiwi kujali kwakuwa wa jirani yako ni kahaba?? Tusiitathmini hasara wala tusijipange upya twende tuu kama nyumbu!!! Acha ujinga, huwa ni mzigo mzito kwako,familia yako,ukoo,taifa,dunia na jehanamu kwaujumla...
 
Shirika la ndege la Kenya limepata hasara zaidi ya Bilioni 800 ila bado linaendelea na shughuli zake kama kawaida.

Ni shirika kongwe ambalo limekuwepo toka miaka ya 70.

Shirika changa la ndege la Tanzania limepata hasara ya Bil. 60 wanataka wasitishe ununuaji wa ndege.

Magufuli amekufa na ndoto yake ya kuifanya Tanzania taifa kubwa Afrika lenye uchumi mkubwa.

Hakika tutamkumbuka huyu kiongozi.
Hata mke wake hawezi kumkumbuka kama wewe unavyomkumbuka wewe umezidisha mahaba
 
Shirika la ndege la Kenya limepata hasara zaidi ya Bilioni 800 ila bado linaendelea na shughuli zake kama kawaida.

Ni shirika kongwe ambalo limekuwepo toka miaka ya 70.

Shirika changa la ndege la Tanzania limepata hasara ya Bil. 60 wanataka wasitishe ununuaji wa ndege.

Magufuli amekufa na ndoto yake ya kuifanya Tanzania taifa kubwa Afrika lenye uchumi mkubwa.

Hakika tutamkumbuka huyu kiongozi.
Kenyatta anapata sifa ya kuimarisha democrasia Kenya,, lakini analaumiwa kwa ufisadi hivyo sishangai kama anaembrace loss.
Magufuli aliua demorasia kabisa, wateuliwa wake walikuwa ndo mahakimu, ukicheza unapotezwa- haki na uhuru ulitoweka na nyie mlishabikia haya, ndiyo maana umeshuhudia chuki ya wazi dhidi yake.
Pamoja na ukatili huo bado ufisadi uliendelea kufanyika:' sasa faida yake yeye kuwa rais ni ipi?

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hasara sio garantee ya kufunga biashara...halafu kuwa na shirika la ndege ni kama kutoa huduma.

Mashirika ya ndege yanaendeshwa kwa hasara kipindi kama hiki cha covid...shirika letu hata kama litaendeshwa kwa hasara faida ipo kwenye utalii.

Wakenya wametumia shirika lao kuutangazia ukimwengu kuwa Kilimanjaro ni mlima wao. Na wamepata mapato mengi sana kupitia kubeba watalii kuleta nchini mwao.
Kenya wameitangaza nchi yao kimataifa kutokana na kuwa walisimamia elimu kwa nguvu kubwa.
Wakenya wameenea huko duniani kwasababu wengi walielimika tangu zamani.
Kenya air ways ni sehem ndogo sana ya jitihada kwenye kuitangaza Kenya, kwanza wala haalijulikani.

Ila pole pia, maana hakuna jeuri mbele ya msiba wa mtu wake wa karibu.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hasara sio garantee ya kufunga biashara...halafu kuwa na shirika la ndege ni kama kutoa huduma.

Mashirika ya ndege yanaendeshwa kwa hasara kipindi kama hiki cha covid...shirika letu hata kama litaendeshwa kwa hasara faida ipo kwenye utalii.

Wakenya wametumia shirika lao kuutangazia ukimwengu kuwa Kilimanjaro ni mlima wao. Na wamepata mapato mengi sana kupitia kubeba watalii kuleta nchini mwao.
Kwan covid ilikuwepo Tanzania sie si tulikua tunachapa kazi,,au nasema uongo ndugu zangu
 
Shirika la ndege la Kenya limepata hasara zaidi ya Bilioni 800 ila bado linaendelea na shughuli zake kama kawaida.

Ni shirika kongwe ambalo limekuwepo toka miaka ya 70.

Shirika changa la ndege la Tanzania limepata hasara ya Bil. 60 wanataka wasitishe ununuaji wa ndege.

Magufuli amekufa na ndoto yake ya kuifanya Tanzania taifa kubwa Afrika lenye uchumi mkubwa.

Hakika tutamkumbuka huyu to

Toka ck Magufuli alipovaa combati nilijua he is worse presedent ever ,baada ya kushinda uchaguzi wa kiraia akimbia kuvaa combati na kuelekea monduli,watu wasycology tukajua McHale wa saa uko nyuma,ku baking na dunia ya akina Hitler Hitler Gaddafi, idd amini na Saddam Hussein,haelewi zama hizo nimepiga anaanza uhalibifu wake
 
Eti rais wa wanyonge kumbe li jizi lililo kubuhu, aliye liuwa kumbe alifanya kaxi nzuri sana
 
Sisi ambao tuna upeo wa mambo haya ya aviation 60B kama hasara kwenye airline business ni kitu cha kawaida sana nakumbuka wakati QR ina ingia kwenye airline business ili predict ya kuanza kupata faida in 10 yrs time in their ops ,kwahiyo kwa kipindi chote ilikuwa inapata hasara.
 
Shirika la ndege la Kenya limepata hasara zaidi ya Bilioni 800 ila bado linaendelea na shughuli zake kama kawaida.

Ni shirika kongwe ambalo limekuwepo toka miaka ya 70.

Shirika changa la ndege la Tanzania limepata hasara ya Bil. 60 wanataka wasitishe ununuaji wa ndege.

Magufuli amekufa na ndoto yake ya kuifanya Tanzania taifa kubwa Afrika lenye uchumi mkubwa.

Hakika tutamkumbuka huyu kiongozi.
Hili swala la ndege si vema tu kuangalia mataifa yenye ndege tuangalie hata Yale ambayo hayana flag carries Yani national airlines, ni Jambo lakushangaza Sana nchi kubwa Kama marekani haina national airlines na imeachia private sector wa operate airlines nchini marekani pamoja na hayo marekani ndio nchi inaongoza kwa kupata Kodi kupitia ndege private zinazo operate marekani au kutua marekani....Kuna Jambo pia la kujifunza kwa kwa nn Kuna mataifa makubwa na yakati hayataki kununua ndege hata Kama yanauwezo wakufanya hivo..ndege 8 tumetumia 1trillion kitu ambacho Marais wetu waliopita wangeweza kuzika hizo hela uko ila hakuweka huko kwann? Inabidi rejea zifanyike nyingi maana hili shirika likiendelea hivi that means Kuna shida na litakufa bila kurudisha hata hyo 1trillion
 
Inasikitisha sana kwakweli.Magufuli alikuwa na msimamo na nia thabit ya kuinua uchumi wa nchi.Ila kwa sasa naona kama tumepoteza mwelekeo.Rais anasimama anasema waziwazi tunahitaji wawekezaji kuliko wanavyotuhitaji! Anaruhusu wawekezaji waje na watu wao bila kujali ajira za wazawa.Hana msimamo mambo ambayo alitakiwa azungumzie ofisini anaweka hadharani au alijua JPM alikuwa mjinga kutokusema hadharani baadhi ya mambo? Huko ni kutengeneza panic na porojo ambazo zitamuondolea focus ya maendeleo na hazitamuongezea chochote!
Sasa Kuna nchi hahitaji wawekezaji hapa barani afrika na nchi maskini, mama alikua makamu wa raisi anajua kwamba kipindi cha miaka mitano wawekezaji wamepungua kwa kiasi kikubwa ikasababisha hali kuwa mbaya ya kiuchumi na ajira kwene private sector analijua kosa alilofanya boss wake ndo maana akaamua kusema hadharani ili wawekezaji wte dunian wavutiwe kirudi tena kuwekeza Tanzania....unadhani we unajua shida ya serikali iliopita zaidi ya makamu wa raisi kwene hio serikali
 
Shirika la ndege la Kenya limepata hasara zaidi ya Bilioni 800 ila bado linaendelea na shughuli zake kama kawaida.

Ni shirika kongwe ambalo limekuwepo toka miaka ya 70.

Shirika changa la ndege la Tanzania limepata hasara ya Bil. 60 wanataka wasitishe ununuaji wa ndege.

Magufuli amekufa na ndoto yake ya kuifanya Tanzania taifa kubwa Afrika lenye uchumi mkubwa.

Hakika tutamkumbuka huyu kiongozi.
Baada ya mwezi tu tutanza kumkumbuka.
 
Hasara sio garantee ya kufunga biashara...halafu kuwa na shirika la ndege ni kama kutoa huduma.

Mashirika ya ndege yanaendeshwa kwa hasara kipindi kama hiki cha covid...shirika letu hata kama litaendeshwa kwa hasara faida ipo kwenye utalii.

Wakenya wametumia shirika lao kuutangazia ukimwengu kuwa Kilimanjaro ni mlima wao. Na wamepata mapato mengi sana kupitia kubeba watalii kuleta nchini mwao.
Serekali za Nchi zenye mashirika ya ndege ni za africa pekee, umefatilia kwa nn. Kila biashara sio lazima tufanye na changamoto ni nyingi. Kuacha kwa shirika kufanya kazi sio aibu, aibu ni kuendelea kuendesha kwa hasara wakati watu hawana kazi wanalia njaa mayawati hamna mwalimu hamna nk
 
Hasara sio garantee ya kufunga biashara...halafu kuwa na shirika la ndege ni kama kutoa huduma.

Mashirika ya ndege yanaendeshwa kwa hasara kipindi kama hiki cha covid...shirika letu hata kama litaendeshwa kwa hasara faida ipo kwenye utalii.

Wakenya wametumia shirika lao kuutangazia ukimwengu kuwa Kilimanjaro ni mlima wao. Na wamepata mapato mengi sana kupitia kubeba watalii kuleta nchini mwao.
Ongea na Silinde yakajengwe madarasa na vyoo vya shule kule Lindi ndipo muanze kutoa huduma kwa hizo ndege. Eti "kuwa na shirika la ndege ni kama kutoa huduma"
 
Inasikitisha sana kwakweli.Magufuli alikuwa na msimamo na nia thabit ya kuinua uchumi wa nchi.Ila kwa sasa naona kama tumepoteza mwelekeo.Rais anasimama anasema waziwazi tunahitaji wawekezaji kuliko wanavyotuhitaji! Anaruhusu wawekezaji waje na watu wao bila kujali ajira za wazawa.Hana msimamo mambo ambayo alitakiwa azungumzie ofisini anaweka hadharani au alijua JPM alikuwa mjinga kutokusema hadharani baadhi ya mambo? Huko ni kutengeneza panic na porojo ambazo zitamuondolea focus ya maendeleo na hazitamuongezea chochote!
Sasa ndo zimemuongezea sana. Tuko na Madam President. Endelea kuomboleza.
 
Wewe unataka hasara ifike shilingi ngapi? unajua share za serikali ya Kenya kwenye KQ ni chini ya 50%.....huo mzigo wa hasara unataka nani abebe...
Hapa umezibua vizuri hicho kichwa cha huyo muombolezaji.
 
Shirika la ndege la Kenya limepata hasara zaidi ya Bilioni 800 ila bado linaendelea na shughuli zake kama kawaida.

Ni shirika kongwe ambalo limekuwepo toka miaka ya 70.

Shirika changa la ndege la Tanzania limepata hasara ya Bil. 60 wanataka wasitishe ununuaji wa ndege.

Magufuli amekufa na ndoto yake ya kuifanya Tanzania taifa kubwa Afrika lenye uchumi mkubwa.

Hakika tutamkumbuka huyu kiongozi.
Watu mnapenda sifa za kijinga sana ,kwamba tukishamkumbuka ndio inakuwa nn Sasa ,yaan tuache kupambana na vitu vinavyoonekana tuanze kuwazia mzoga uliobakia mifupa tu .

Hata shetan kila muda tunamkumbuka kuwa tunaish nae kila siku lakin haituzuii kusonga mbele .

Who is jpm kwenye hii nchi had afanye maisha mengine yasiendelee?
 
Back
Top Bottom