Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Kwa ushahidi wa ripoti hii ya CAG Magufuli alikuwa ni kiongozi populist ambae alikuwa ni mwizi,fisadi na mzembe wa mali za uma aliekuwa anajificha kwenye chaka la siasa za propaganda.
 
Kupata hasara sio jambo la kujisifia. Kupata hasara sio mashindano.

Kama mke wa jirani yako kaliwa juzi naww mkeo akiliwa leo na mchepuko utaleta uzi wa kumsifia hapa?

Acheni mambo ya kijinga, umaskini sio sifa.
Sijawahi kua na mahaba na mwendazake Magufuli though kuna vitu alivifanya vizuri sana nchi hi; mashirika ya ndege almost everywherein the world yanapata HASARA, tena kubwa tu, kwa Africa hakuna shirika hata moja linalopata FAIDA (hasa haya ambayo serikali either ina hisa au yanamilikiwa 100% na serikali ). Faida ya kua na ndege za nchini kwenu ni UTALII, hiyo pesa ya utalii haitaonekana kwenye financial statements za shirika hilo la ndege but itaonekana kwenye sekta zingine ikiwepo utalii, Kenya na Tanzania, Tanzania inaongoza kua na vivutio vingi vya utalii but Kenya inahesabu kubwa sana ya watalii wanaotembelea nchi yao kwa mwaka, moja kati ya sababu ni KUJITANGAZA wanakofanya na kua na shirika la ndege, Kama KQ inakula hasara kila mwaka, maanake serikali inaendelea kumimina pesa kwa shirika lile kama ruzuku kila mwaka, ndio maana wana nunua ndege mpya na kua na roots mpya. Umewahi kujiuliza ni kwanini watalii wanaotaka kuja kupanda mlima Kilimanjaro wengi wao wanapitia Kenya? Dunia inajua kwamba Kilimanjaro na hata Serengeti/Masai Mara zipo Kenya na sio Tanzania, tumewahi kujiuliza kwanini dunia ijue hivyo? Tutalaumu, tutabeza but shirika la ndege Tanzania ni muhimu sana hata kama lita run kwa hasara, mfano wa kugongewa mkeo sidhani kama unafanana na biashara ya ndege, sidhani
 
Shirika la ndege la Kenya limepata hasara zaidi ya Bilioni 800 ila bado linaendelea na shughuli zake kama kawaida.

Ni shirika kongwe ambalo limekuwepo toka miaka ya 70.

Shirika changa la ndege la Tanzania limepata hasara ya Bil. 60 wanataka wasitishe ununuaji wa ndege.

Magufuli amekufa na ndoto yake ya kuifanya Tanzania taifa kubwa Afrika lenye uchumi mkubwa.

Hakika tutamkumbuka huyu kiongozi.
Kwa lipi jipya alilofanya nchini ambalo alijawahi fanywa? Mtamkumbuka nyinyi wafuasi wake tu,sisi wengine tunamshukuru tu Mungu,kwa sababu tumeamliwa tushukuru kwa kila jambo.
 
Hivi burigi itakuwaje?
Stieglers upembuzi yakinifu wa 1970.
Kivuko nyuma ya ikulu hakuna hela bank wala ofisini wala nyumbani kwa mtu.
Mwenda zako nenda!

Yale mabank Chato itakuwaje?
Hawa viongozi wa kupitishwa itakuwaje?
Ule uwanja wa ndege chato?
Na yale mataa?
Mwenda zako nenda!

Sasa tununue ndege au tulipe deni?
Au tuziuze au tufanyeje?
Daraja la busisi tufanyeje?
Ulikuwa mshamba sana!
Mwendazako nenda!

Namsubiria mrithi wako atangazwe nimfungulie kesi!
Just for records
 
Hivi burigi itakuwaje?
Stieglers upembuzi yakinifu wa 1970.
Kivuko nyuma ya ikulu hakuna hela bank wala ofisini wala nyumbani kwa mtu.
Mwenda zako nenda!

Yale mabank Chato itakuwaje?
Hawa viongozi wa kupitishwa itakuwaje?
Ule uwanja wa ndege chato?
Na yale mataa?
Mwenda zako nenda!

Sasa tununue ndege au tulipe deni?
Au tuziuze au tufanyeje?
Daraja la busisi tufanyeje?
Ulikuwa mshamba sana!
Mwendazako nenda!

Namsubiria mrithi wako atangazwe nimfungulie kesi!
Just for records


Mwendazake huwa hasimangwi, asamehewe tu na tugange yajayo.
 
Hivi burigi itakuwaje?
Stieglers upembuzi yakinifu wa 1970.
Kivuko nyuma ya ikulu hakuna hela bank wala ofisini wala nyumbani kwa mtu.
Mwenda zako nenda!

Yale mabank Chato itakuwaje?
Hawa viongozi wa kupitishwa itakuwaje?
Ule uwanja wa ndege chato?
Na yale mataa?
Mwenda zako nenda!

Sasa tununue ndege au tulipe deni?
Au tuziuze au tufanyeje?
Daraja la busisi tufanyeje?
Ulikuwa mshamba sana!
Mwendazako nenda!

Namsubiria mrithi wako atangazwe nimfungulie kesi!
Just for records
unamuuzia nan uchafu huo toka zimenunuliwa zina kula pesa
 
.
20210407_093224.jpg


Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
1.Chato International Airport
2.Chato National Park
3.Trafic light Chato
4.3 star hotel Chato (TANAPA)
5.Bohari ya kanda madawa Chato
6.Hospital ya rufaa Chato
7.Stadium (proposa)
8.CRDB Chato

Respect; Ngongo

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Nitakumbuka ndio awamu iliongoza kwa kuvunja katiba na taratibu kulizote zilizo pita huko nyuma. Ni awamu ilitawala nje ya utaratibu rasmi na kuwa na viongozi wenye nguvu na uonevu uliopitiliza. Bunge la hovyo lililo vunja katiba na kanuni zake kuliko mabunge yote Duniani. Awamu iliyokuwa na upendeleo uliopalilia ukabila na ukanda katika nchi. Awamu iliyotamani iendelee milele kwani kwa kipindi cha miaka mitano walishafanya vitu vingi vilivyostahili kulindwa machoni pa watu. Ni awamu ambayo ingeendelea ingelitumbukiza nchi kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe.
 
Back
Top Bottom