Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Kwa ushahidi wa ripoti hii ya CAG Magufuli alikuwa ni kiongozi populist ambae alikuwa ni mwizi,fisadi na mzembe wa mali za uma aliekuwa anajificha kwenye chaka la siasa za propaganda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi kua na mahaba na mwendazake Magufuli though kuna vitu alivifanya vizuri sana nchi hi; mashirika ya ndege almost everywherein the world yanapata HASARA, tena kubwa tu, kwa Africa hakuna shirika hata moja linalopata FAIDA (hasa haya ambayo serikali either ina hisa au yanamilikiwa 100% na serikali ). Faida ya kua na ndege za nchini kwenu ni UTALII, hiyo pesa ya utalii haitaonekana kwenye financial statements za shirika hilo la ndege but itaonekana kwenye sekta zingine ikiwepo utalii, Kenya na Tanzania, Tanzania inaongoza kua na vivutio vingi vya utalii but Kenya inahesabu kubwa sana ya watalii wanaotembelea nchi yao kwa mwaka, moja kati ya sababu ni KUJITANGAZA wanakofanya na kua na shirika la ndege, Kama KQ inakula hasara kila mwaka, maanake serikali inaendelea kumimina pesa kwa shirika lile kama ruzuku kila mwaka, ndio maana wana nunua ndege mpya na kua na roots mpya. Umewahi kujiuliza ni kwanini watalii wanaotaka kuja kupanda mlima Kilimanjaro wengi wao wanapitia Kenya? Dunia inajua kwamba Kilimanjaro na hata Serengeti/Masai Mara zipo Kenya na sio Tanzania, tumewahi kujiuliza kwanini dunia ijue hivyo? Tutalaumu, tutabeza but shirika la ndege Tanzania ni muhimu sana hata kama lita run kwa hasara, mfano wa kugongewa mkeo sidhani kama unafanana na biashara ya ndege, sidhaniKupata hasara sio jambo la kujisifia. Kupata hasara sio mashindano.
Kama mke wa jirani yako kaliwa juzi naww mkeo akiliwa leo na mchepuko utaleta uzi wa kumsifia hapa?
Acheni mambo ya kijinga, umaskini sio sifa.
Kwa lipi jipya alilofanya nchini ambalo alijawahi fanywa? Mtamkumbuka nyinyi wafuasi wake tu,sisi wengine tunamshukuru tu Mungu,kwa sababu tumeamliwa tushukuru kwa kila jambo.Shirika la ndege la Kenya limepata hasara zaidi ya Bilioni 800 ila bado linaendelea na shughuli zake kama kawaida.
Ni shirika kongwe ambalo limekuwepo toka miaka ya 70.
Shirika changa la ndege la Tanzania limepata hasara ya Bil. 60 wanataka wasitishe ununuaji wa ndege.
Magufuli amekufa na ndoto yake ya kuifanya Tanzania taifa kubwa Afrika lenye uchumi mkubwa.
Hakika tutamkumbuka huyu kiongozi.
Ana mengi ya kujibu, kweli nchi hii imeharibiwa.Jamani mzee hata hajalizoea kaburi ndio mnamjogoja namna hii!
He ruined this beautiful country.. Ana tuhuma nyingi sana huku duniani alizifunika funika kwa shuka fake la uzalendo..Jamani mzee hata hajalizoea kaburi ndio mnamjogoja namna hii!
Jamaa alifosi uzalendo ambao hakuwa nao.He ruined this beautiful country.. Ana tuhuma nyingi sana huku duniani alizifunika funika kwa shuka fake la uzalendo..
Kabisa kumbe alikua jambaka..Jamaa alifosi uzalendo ambao hakuwa nao.
Washkaji hawana aibu kabisa.Kabisa kumbe alikua jambaka..
Hivi burigi itakuwaje?
Stieglers upembuzi yakinifu wa 1970.
Kivuko nyuma ya ikulu hakuna hela bank wala ofisini wala nyumbani kwa mtu.
Mwenda zako nenda!
Yale mabank Chato itakuwaje?
Hawa viongozi wa kupitishwa itakuwaje?
Ule uwanja wa ndege chato?
Na yale mataa?
Mwenda zako nenda!
Sasa tununue ndege au tulipe deni?
Au tuziuze au tufanyeje?
Daraja la busisi tufanyeje?
Ulikuwa mshamba sana!
Mwendazako nenda!
Namsubiria mrithi wako atangazwe nimfungulie kesi!
Just for records
unamuuzia nan uchafu huo toka zimenunuliwa zina kula pesaHivi burigi itakuwaje?
Stieglers upembuzi yakinifu wa 1970.
Kivuko nyuma ya ikulu hakuna hela bank wala ofisini wala nyumbani kwa mtu.
Mwenda zako nenda!
Yale mabank Chato itakuwaje?
Hawa viongozi wa kupitishwa itakuwaje?
Ule uwanja wa ndege chato?
Na yale mataa?
Mwenda zako nenda!
Sasa tununue ndege au tulipe deni?
Au tuziuze au tufanyeje?
Daraja la busisi tufanyeje?
Ulikuwa mshamba sana!
Mwendazako nenda!
Namsubiria mrithi wako atangazwe nimfungulie kesi!
Just for records
Shenzi sanaJamani mzee hata hajalizoea kaburi ndio mnamjogoja namna hii!
unamuuzia nan uchafu huo toka zimenunuliwa zina kula pesa
akina lisu zito walipiga kelele kwamba ,mmenunua mizoga hawakuelewa yakashupaza shingo,tz inawezi jamanZinakula pesa kama Bukula??!![emoji1787]