Alikuwa ana roho mbaya kumzidi shetani
Aende kuzimu
 
Ripoti ya CAG inajieleza na mostly likely atakumbukwa kama MWIVI!
 
Nimesikitika kifo cha Magufuli. Siku ile nilikuwa nimekwenda kuwatembelea ndugu nikasema zipo habari kuhusu kiongozi mmoja haionekani mitaani,amelazwa hospitali, sijui nani huyu.
Nikaambiwa wanamsema Magufuli.
Nikasema,nikatamka,"Hiyo inanisikitisha sana kwa sababu sitaki Samia Suluhu awe Rais"
Kwa hiyo nikafarijika kuambiwa kwamba anaumwa lakini Hali yake siyo mbaya.
Siku ile ile alipokuwa nikaulizia sfya yake,nikaambiwa hana matatizo" usisikilize porojo za akina Tundu Lissu."
Samia Samia anasema "faster,faster" kama kondakta wa daladala.
 
Tundu Lissu, Azory Gwanda, Ben Saa8, Alphonse Mawazo, ujambazi wa TRA, Kufuswa kwa Bureau de Change, viroba vya maiti mto Ruvu na baharini, Sakata la Korosho, umma kuzibwa midomo, kusigina katiba, uhuru wa habari, ugumu wa maisha nk nk!
 
Vipi wale waliitwa wasiojulikana ulikuwa mmoja wao?
 
Huu ni uongo wa jumla, mimi na wenzangu tumepanda madaraja na kupata increments zetu kama kawaida.
Matatizo mengine ya kiutendaji na taratibu za utumishi zisikufanye ujumuishe hapo
Acha uongo wako
 
Atakumbukwa kwa kuondoa mfumo uliokuwa umeanza kujengwa na baadhi ya viongozi wa kurithisha madaraka kwa vizazi vyao.
(Power elite model)
 
Kati ya miradi yote, mradi ambao ni wa hasara na tunahitaji kuachana nao mapema ni ndege.

Watalii wanaenda Kenya sio kwa sababu ya KQ, na wanaacha kuja kwetu sababu ATC lilikufa. Na kutangaza vivutio vya utalii sio lazima kutumia atcl. Kumbuka travel agents wa ulaya, America etc hawajui atcl. Wanaju mashirika kama klm, air france, ethiopian, kq etc. Sasa tumekurupuka kununua mandege bili business plan, matokeo yake tunapata hasara.

And so far nimesikia tumefutiwa/tumesimamishwa uanachama IATA,. hivyo hatuna kibali cha kurusha ndege huko duniani.

Kwa hiyo mimi nitankumbuka mh. Magufuli kama kiongozi aliyetuongoza ktk mambo mengi mabaya, au yalifanywa kwa kukurupuka, bila kuzingatia vipaumbele vya taifa, ufufuaji wa atcl ikiwa mojawapo.
 
Atakumbukwa kwa kuondoa mfumo uliokuwa umeanza kujengwa na baadhi ya viongozi wa kurithisha madaraka kwa vizazi vyao.
(Power elite model)
Kauondoaje, wakati yeye ndo aliesimamia mchakato mzima wa uteuzi wa Dr. Hussein Ally Mwinyi kushika wadhifa ambao baba yake alishaushika..?
 
1. Ukatili
2. Maneno ya kunya
3. Ukanda
4. Kupiga risasi wapinzani hadharani
5. Kujiona yeye ndo mungu

*Mungu amemuonyesha nani Ni mungu. Akachomwe moto kwa kuua watu na kuwatia kwenye sandarusi kisa wamemkosoa
 
Amesababisha nijue kwamba hata kama una elimu nzuri ya ujasiriamali na mtaji, biashara zinaweza kufa kutokana na sera ambazo hazina muelekeo 'policy uncertainty', hili pia limeongezea nyama za kutosha kwenye kitabu changu cha ujasiriamali
 
Akachomwe moto tu
 
Akachomwe moto tu
 
Utaiba nini wakati hela zenyewe hakuna
 
Kunyang'anywa demu hapo sijaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…