Ulisema twitter tunadanganywaKwa kweli sijafurahi kabisa kumpoteza kiongozi mahiri kama john pombe magufuli alikua hodari sana katika uongozi wake mianya ya rushwa alikomesha, uonevu, huduma katika taasisi za kiserikali zilikua zikitolewa kwa heshima na bila ubaguzi...
🙄🤗lakini katibiwa kwenye hospital ya nchini kwake na kufariki hapo hapo Mzena hospital.
This is a special thread and a tribute to the late J.P.M....
Nchi irudi shimoni kwa sababu gani?He is My son's legacy
Amenisaidia Mambo mengi.
JPM kafanya mengi makubwa kuliko Rais yeyote aliwewah pita nakosa la kuandika kabisa vidole vinatetemeka, Nimelia Mimi leo
Naogopa nchi yetu inarudi shimoni
MUNGU TUANGALIE TENA WAJA WAKO
Uongozi ujao? Uongozi ni uleule tuliouchagua kwa mujibu wa katiba... Mama Samia alichaguliwa sambamba na Magufuli. .. nchi ni yetu soteIngawa sikuwa shabiki wake lakini alifanya mambo mawili muhimu sana SGR na Stiegllers Gorge namsihi kiongozi ajaye akamilishe miradi hii.
Pia uongozi ujao usilegeze kamba Bandarini
Umesahau UmemeKwa kweli sijafurahi kabisa kumpoteza kiongozi mahiri kama john pombe magufuli alikua hodari sana katika uongozi wake mianya ya rushwa alikomesha, uonevu, huduma katika taasisi za kiserikali zilikua zikitolewa kwa heshima na bila ubaguzi, kajenga miradi mingi sana nchini, elimu bure, miundombinu, hudumu hospitalini ziliboreshwa, huduma za maji mikoa mbalimbali alitoa fedha miradi ikamilishwe, uwanja wa ndege wa mwl Julius Nyerere aliukarabati kwa ufupi Rais wangu kifo chako John Pombe Magufuli umeniachia simanzi moyoni mwangu,
Ule haukuwa msimamo bali ni uchuroApo kwenye point #2
Amevuna alichopanda