Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,772
- 8,939
Hayo mengi makubwa itakuwa kwenye familia yako, nauwakika hata ukoo wako haujafanyiwa hayo makubwa.He is My son's legacy
Amenisaidia Mambo mengi.
JPM kafanya mengi makubwa kuliko Rais yeyote aliwewah pita nakosa la kuandika kabisa vidole vinatetemeka, Nimelia Mimi leo
Naogopa nchi yetu inarudi shimoni
MUNGU TUANGALIE TENA WAJA WAKO