Nilisema humu: wakitaka marehemu asisemwe vibaya,wawe wa kwanza kuacha kumpamba maana kunaamsha hasira na machungu ya watu.

Kwa kifupi, chini ya utawala wa Magufuli, watu wametendewa uovu na ukatili mkubwa, hivyo ni bora wapambe wake wamuombee msamaha na si kumpamba na kutaka kufanya watu wajinga.
 
Mimi nikienda Marekani mwezii huu naanza kutumia jina la Magufuli kwenye uko wangu. Maana dunia nzima inamtambua kwa ushuja.
 


🤣🤣🤣alikua mbabaifu
 
Watu mkilala mkiamka mnamuota Magufuli, ndo maana wapinzani wa JPM walikuwa ni wa kwanza kuwahi kwenye TV kuangalia hotuba zake kila alipokuwa anahutubia. Waafrika wana tabia moja, huwa wakifeli kimaisha wanatafuta sababu ya kulaumu kufeli kwao, kipindi cha awamu ya tano hawa watu wameongezeka sana. Nina uhakika wa 100% mpaka 2025 watakuwa wanamlaumu mama Samia vibaya sana. Mfano kwa JF watu kama Salry Slp,Mmawi.a nk wapo wengi. Hawa huwa wanalaumu kila serikali inayokuja kwa kufeli kwao maisha kumbe sababu ni uvivu wao na kushinda mitandaoni 24/7, kama watu wana win maisha nchi kama Somalia au Sudan ambazo ni vurugu miaka yote,unashindwaje kutoboa bongo!??.. Ukiwa mlalamishi huwezi kutoboa maishani, utamlaumu mpaka mzazi wako kwamba kwanini hakupambana awe mbunge au waziri,hiyo ni kama laana. Sasa hivi mnamlaumu mtu aliyekufa, hiyo ni AKILI kweli!?????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…