EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,085
niite Yatima wala haina shida Ila JPM ni hero wa dunia mbona hata UN wanajua. Dunia nzima inajua.Kuna uwezekano wewe ni yatima hujui hata kizazi chako ndio maana inabidi ushobokee ukoo wa watu wengine ili ujifariji.
😂😂😂😂😂😂huyo mwamba bado Roho ya JPM inamtesa.
Njoo Kapongo Villa tunywe bia mkuu,Wewe dikteta uchuro
Huyu bwana hakua na jema lolote kwa taifa
Hakujenga alibomoa
Hakuunganisha alivunja
Hakurekebisha aliharibu
Huyu mtu hafai wala hatofaa kamwe
Kwa lipi labda??
Wanaomfagilia ni wanufaika mfumo wake tu
Nachukia sana madikteta tena madikteta wasio na akili na washamba washamba hivi
Huwezi ukawa kiongozi halafu ukawa unapendelea kabila lako tuu this is shame
Ukwende na upumzike panapostahili sijawahi kukupenda na sitokupenda kamwe nakuchukia sana natamani nahisi hata hilo pigo halitoshi
Umeliharibu taifa letu........pumzika huko ulipo una ulipwe unalostahili..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hayati Magufuli bado ana wabamiza mavibao akiwa kaburini!Nilisema humu: wakitaka marehemu asisemwe vibaya,wawe wa kwanza kuacha kumpamba maana kunaamsha hasira na machungu ya watu.
Kwa kifupi, chini ya utawala wa Magufuli, watu wametendewa uovu na ukatili mkubwa, hivyo ni bora wapambe wake wamuombee msamaha na si kumpamba na kutaka kufanya watu wajinga.
JPM kawanyoosha akiwa hai na anaendelea kuwanyoosha hata sasa na bado🤣🤣🤣
Hitla inamtambuje na Magu inamtambuaje?Hata Hitler dunia nzima inamtambua.
wewe ni mmoja ya watu aliowadanganya mkadanganyikaKila mtu na mtizamo wake,ndio uzuri wa demokrasia,ila Magu for me ni best president baada ya Nyerere so sio lazima wote mfanane.
Haaah haaaWatu badala ya kushukuru Mungu amewafanyia wepesi,wanalaumu
Pambana na hali yako mkuu. Licha ya madhaifu ya Hayati,alikuwa kiongozi wa maana sana.Nilisema humu: wakitaka marehemu asisemwe vibaya,wawe wa kwanza kuacha kumpamba maana kunaamsha hasira na machungu ya watu.
Kwa kifupi, chini ya utawala wa Magufuli, watu wametendewa uovu na ukatili mkubwa, hivyo ni bora wapambe wake wamuombee msamaha na si kumpamba na kutaka kufanya watu wajinga.
Hata wewe ulidanganywa na viongozi wako kwa miaka mitano Lowasa fisadi,kwa vinywa vyao wakadai ushahidi wanao,2015 ndani ya masaa 24 mkasafisha jina mkaliondoa ktk list ya mafiasadi papa na akawa mgombea wenu.Ndio uzuri wa siasa ukiwa msahaulifu lazima upelekeshwe.wewe ni mmoja ya watu aliowadanganya mkadanganyika