Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Dicteta wa Aina ya JPM anahitajika tena Tanzania awamu kama tatu zijazo!
Wewe ni mmoja Tu Kati ya wengi mno waliokuwa wamezoea Kula Vya kunyonga, mafisadi na wenye vyeti feki wanaolazimika kumchukia JPM

Kwa mfano, kama wewe hapo ni muuza ngada, utaanzia wapi kumpenda Magufuli
 
Wewe dikteta uchuro

Huyu bwana hakua na jema lolote kwa taifa

Hakujenga alibomoa

Hakuunganisha alivunja

Hakurekebisha aliharibu

Huyu mtu hafai wala hatofaa kamwe

Kwa lipi labda??

Wanaomfagilia ni wanufaika mfumo wake tu

Nachukia sana madikteta tena madikteta wasio na akili na washamba washamba hivi

Huwezi ukawa kiongozi halafu ukawa unapendelea kabila lako tuu this is shame

Ukwende na upumzike panapostahili sijawahi kukupenda na sitokupenda kamwe nakuchukia sana natamani nahisi hata hilo pigo halitoshi

Umeliharibu taifa letu........pumzika huko ulipo una ulipwe unalostahili..
Njoo Kapongo Villa tunywe bia mkuu,
Maana jizi lililokuwa likitusumbua halipo tena, tunywe tusherehekee na utawala wa mama yetu
 
Nilisema humu: wakitaka marehemu asisemwe vibaya,wawe wa kwanza kuacha kumpamba maana kunaamsha hasira na machungu ya watu.

Kwa kifupi, chini ya utawala wa Magufuli, watu wametendewa uovu na ukatili mkubwa, hivyo ni bora wapambe wake wamuombee msamaha na si kumpamba na kutaka kufanya watu wajinga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hayati Magufuli bado ana wabamiza mavibao akiwa kaburini!

Subirini 2025 muone mtakavyo vutwa mikia hiyo
 
Jamaa alikuwa mkabila sana, pia alipenda kuabudiwa kitu ambacho ni dhambi kubwa....

Ana damu za watu wengi sana wasio na hatia mikononi mwake ukiachilia mbali aliowatesa na kuwafanya vilema wa maisha.

Katugawa sana watanzania huyu jamaa.
 
Nilisema humu: wakitaka marehemu asisemwe vibaya,wawe wa kwanza kuacha kumpamba maana kunaamsha hasira na machungu ya watu.

Kwa kifupi, chini ya utawala wa Magufuli, watu wametendewa uovu na ukatili mkubwa, hivyo ni bora wapambe wake wamuombee msamaha na si kumpamba na kutaka kufanya watu wajinga.
Pambana na hali yako mkuu. Licha ya madhaifu ya Hayati,alikuwa kiongozi wa maana sana.
Iko siku hata wewe utamkumbuka kwa mema. Muda ni mwalimu mzuri sana
 
wewe ni mmoja ya watu aliowadanganya mkadanganyika
Hata wewe ulidanganywa na viongozi wako kwa miaka mitano Lowasa fisadi,kwa vinywa vyao wakadai ushahidi wanao,2015 ndani ya masaa 24 mkasafisha jina mkaliondoa ktk list ya mafiasadi papa na akawa mgombea wenu.Ndio uzuri wa siasa ukiwa msahaulifu lazima upelekeshwe.

Mimi namuogopa sana mtu asiyekuwa na misimamo na anayepingana na alicho kiongea kwa kinywa chake,kwani kuna siku anaweza AKANA HATA JINSIA YAKE au akaligeuka taifa lake.

Ila yote kwa yote ndio demokrasia,unaloliona wewe baya,wenzako wanaliona zuri ila mimi Magu ni rais bora kwangu baada ya Nyerere itabaki kuwa hivyo labda atokee mwengine huko mbele.
 
Humpty Dumpty sat on a wall
Humpty Dumpty had a great fall
All the king's horses and all the king's men
Couldn't put Humpty together again
 
Itakuwa ni ushenzi uliokithiri, Muuza ngada kumpenda Magufuli!!

Itakuwa ni upumbavu, mwenye vyeti feki amfurahie Magufuli,

Ni upumbavu pia, Kwa fisadi eti aseme alimpenda Magufuli

Ni ujinga pia, Kwa aliyezoea kula Vya kunyonga eti naye aseme alimpenda Magufuli,

Na hata huyu jamaa ni miongoni mwa hao, hawezi kumpenda Magufuli,

Washenzi ninyi mmekuwa sababu ya vijana weengi kufa Kwa sababu ya biashara yenu haramu ya dawa za kulevya
 
Back
Top Bottom