Thubutu yenu tumeshawajua vizuri sasa kwamba ni watu wa aina kani.

Ujinga wakati wa kwenda kurudi werevu [emoji108][emoji108]
 
Thubutu yenu tumeshawajua vizuri sasa kwamba ni watu wa aina kani.

Ujinga wakati wa kwenda kurudi werevu [emoji108][emoji108]
Sasa kama tuna account 40% ya wapiga kura mtatufanyaje? We have an upper hand inapofikia jambo la uchaguzi.

Yaani tushajua utamu wa uongozi na bado tuna wapiga kura wengi hivyo mpira uko upande wetu muda wote.

Nyie mtaishia kulia lia mitandaoni. Mtakua mnatuombea tu tufe labda.
 
[emoji3][emoji3][emoji3] kwanini hamjadetermine miaka yote? Una mawazo finyu sana wewe mwamba
 
Hata kama ingekuwa ni kweli hayo madai, Je utatuzi wake Ndiyo kwa kufanya yale yale tena au kwa kuonesha tofauti?

Yani mfano hebu niambie kuamua kuacha kujenga bandari ya Bagamoyo na kwenda kujenga uwanja wa ndege kule Wilayani tafsiri yake ni nini?!


Ndiyo maana Mwalimu inasemekana aliwahi sema Rais anapaswa kutoka kwenye Kabila dogo na siyo nyie mnaonyivunia u konki.
 
Kosa la kuwapa madaraka wapuuzi
/washamba kama alivyosema NAPE
 


Kumbukumbu imeshaingia kwenye hansad hiyo kupata u supreme ni majaliwa [emoji38][emoji38][emoji38]

Ujinga wakati wa kwenda kurudi werevu [emoji3][emoji3]
 
[emoji3][emoji3][emoji3] kwanini hamjadetermine miaka yote? Una mawazo finyu sana wewe mwamba
Miaka ya nyuma tulikua tumekubali kua Watanzania, tusioegemea ukabila ila sasa tumegundua huo ni uhayawani.

Tuligundua Makosa ya Nyerere aliyoyafanya amekaa miaka 23 ameacha kanda ya ziwa masikini ya kutupwa huku watu wengine wakipata nafasi kanda yao inaneemeka.

Msuya alipata uwaziri mkuu akapeleka umeme vijijini kwao huku makao makuu ya mikoa mingi hayana umeme. Watu wengi walipopata nafasi ya uongozi walitumia state machineries kwa faida ya kanda yao. Sasa huo ujinga hatutaki tena.
 
Kumbukumbu imeshaingia kwenye hansad hiyo kupata u supreme ni majaliwa [emoji38][emoji38][emoji38]

Ujinga wakati wa kwenda kurudi werevu [emoji3][emoji3]
Mkuu mark my words, utakuja kukumbuka nachokwambia.

Lets wait and see.
 
Jamaa alikuwa mkabila sana, pia alipenda kuabudiwa kitu ambacho ni dhambi kubwa....

Ana damu za watu wengi sana wasio na hatia mikononi mwake ukiachilia mbali aliowatesa na kuwafanya vilema wa maisha.

Katugawa sana watanzania huyu jamaa.
Thibitisha madai yako.
 
Mi mtu kama ww mnaongeza carbon dioxide tu hapa duniani I see!
 
Msemakweli ni mpenzi wa Mungu Magufuli alikuwa ni Mbumbumbu mzungu wa reli
 
Mbona alipokua hai mlikua hamsemi Kama sio unafiki huo
 
Mwanza kwa kua ni wasukuma wenzake huyu jamaa alikua shetani
Kimara : Wavunjiwe hakuna fidia hata senti tano

Mwanza : Nimezuia wasivunjiwe kwa sababu ni wapiga kura wangu

Nikifikiria hapo tu kwakweli He should Rest In Problem na alipwe anachostahili
 
sisi atuangali Maneno yako tuna angalia watu wengi wanasemaje umeona leo dodoma kwenye kungamano .
 
mtaumia sana na kumsema vibaya magufuli lakini huwezi kumtoa magufuli kwenye mioyo ya watanzania karibu wengi. unajisumbua usije kuwa wewe ni mfanyakazi hewa au vyeti feki, au fisadi na wizi au mla rushwa ulie gushwa na Hayati magufuli au mwanasiasa.
 
Magufuli amelala wewe pambana na hali yako na familia yako , Mwenzio kaweka Alama na wewe weka Alama ya kuondoa njaa kwenye familia yako . usipende kupiga rungu hayati. watu wanakuona chizi tu. usionge na Marehemu huo ni ujuha wa hali ya juu kupitiliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…