Kama una shida nae wewe nenda kaburini kwake.

Nimeshukuru Sana alivyo dead ,jitu lenye mentality za zama za giza la Kazi gani

Cha maana alichofanya ni kipi labda
 
Ila kweli watu mna ubongo wa ndege...!jana ungeiskiliza hutba ya Mama la Mama usingeandika utopolo hapa...jana alinangwa balaa...pole zako kummis !
 
Wewe acha ujinga yule alikuwa rais makini
Jiwe alikuwa Rais makini [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Nilikuwa najiuliza hivi Gwajiboy huwa anawapata wapi waumini wake kumbe ni hapo hapo Tz kwa sababu ya kuwepo kwa watu kama wewe
 
Jiwe alikuwa Rais makini [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Nilikuwa najiuliza hivi Gwajiboy huwa anawapata wapi waumini wake kumbe ni hapo hapo Tz kwa sababu ya kuwepo kwa watu kama wewe
Kwendraaaaa huko
 
Mkatae msikatae hayati JPM atabaki kuwa shujaa na kiongozi mahili aliyepambana kwa ajili ya taifa lake.

Kwa masikio yenu na macho yenu mlisikia Antonio Gutteres akieleza namna alivyopambana kuhakikisha ustawi wa taifa letu unakaa vizuri.

Sasa nyie vidampa wa kisiasa wachache wa Chadema baada ya kukosa nafasi za kisiasa mwaka jana ndio mnaleta chuki za kipuuzi.

Kama hata baraza za usalama la UN linatambua kuwa shujaa kutoka Lubambangwe alipagana na kujitoa kwa taifa lake ninyi mna nini cha kupinga na kuleta kebehi na chuki.

Kwa ufupi wananchi hawaitaki Chadema.
 
Nyuzi kama hizi zimatakiwa zisiwe hata na comments basi tu
 
Mzee bado unaishi in the past,toka huko ulipo Tz ishapata kiongozi mpya maisha yanaendelea.
 
Hakika alikuwa mwenye nia njema na aliwawazia watanzania mawazo mema; licha ya kuwa na mapungufu ya kila mja alivyotafsiri yeye.

" Kila mtu na amuhesabie mwenzie kuwa bora kuliko yeye; maisha lazima yawe mema".

Tuwaze, tutende na tuchague yaliyo mema; mazuri; mambo chana na yale yote yaliyo stara ; ili tuwe wema milele.

Bye.
 
Bro achana nao hao wana colabo fulani hivi utaambulia matusi tu. Ila cdm wana gundu yeyote watakaye kuwa nae direct au indirect.
Uzuri watanzania wana akili sana acha kwa sasa watambe wao.
 
Agree with you 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…