Kuna wajinga wamezusha eti umeme haununuliki kwenye simu nimewasceenia nilinunua Jana kupitia TIGO pesa saa 11 jioni wameingia mitini. Matendo anajifanya Mama ni mwiba Kwa vibaraka WA Dicteta waliachwa ndio maana wanampaka Mama matope asiyostahili.
Jana toka saa kumi na nunua umeme unagoma nimelala gizani na jirani hana umeme kama Mimi!nielekeze umenunuaje?!nimejaribu airtel halotel na tigo pia
 
Jana toka saa kumi na nunua umeme unagoma nimelala gizani na jirani hana umeme kama Mimi!nielekeze umenunuaje?!nimejaribu airtel halotel na tigo pia
Nilijaribu mara ya kwanza nilikuwa na balance SHS 3800 nikataka kununua yote kumbe kuna gharama ya SHS 60 muamala ukasitishwa kujaribu 3700 ikakubali nikauweka. Niko Dar , inawezekana ni baadhi ya maeneo ndio kuna shida.
 
Wewe ni mataga tuu. Hapo kwenye uzi wako ulipoanza kusema wewe sio ccm wala Chadema nikajua we hamnazo.
 
Kama umkumbuka mfate alipo ili muwe mnapeana umeme!
 
Tatizo magufuli alilazimisha kampuni/mashirika yote za serikali kuwatumia TTCL kwenye maswala ya mawasiliano wakati TTCL wenyewe hawajiwezi. Tatizo halijaanza leo kwenye mawasiliano ila kwa kuwa haikuruhusiwa kutoa taarifa enzi zake wengi mtaona ni jambo jipya kwa kuwa tu limewagusa wengi (watumiaji hata wa hali ya chini) Watu wanaolipa kodi TRA wameshazoe hali hii mbona.
 
Huku Ifakara Mahenge walianza kukata jumanne na alhamisi kimya kimya bila taarifa sahiz miaka miwili inakatika na tumeshazoea!
 
wafanyakazi wa serikali bila mkwara hawafanyi kazi hasa viongozi. Yaani Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan akiwabembeleza hali itazidi kuwa mbaya siku hadi siku kwani muda mwingi hutumika kwa mambo binafsi na kupiga madili huu ndio ukweli ingawa nitapingwa vikali sana.
 
Dah, nilivosoma hii nimeumia sana, aki machozi yakanilenga kabisa
Ila tuseme kwenye hii nchi kuna unyanyasaji ambao hautakiwi kunyamaziwa kabisa, mh!
 
Ndio natafuta kazi
 
Bora Tukae Giza kama ndio hivyo...Lakini Umeme umekua unakatika hata yeye akiwepo..

SUALA HAPA ni kwamba walikua hawasemi lolote leo kuna uhuru wewe unasema ndio mana lazima umkumbuke.
 
Wabongo bana 🤣🤣 kuna vitu vipo technical sana wala vitu hivyo havitengemai kwa kauli za mtu. Hata akiwepo kuna wakati dar umeme ulikua unakatika asubuh unarud jion. Na issue ya kununua luku ule ni mfumo unaweza pata tatizo mda wowote, na ishatokea kipindi akiwepo kununua umeme ulikua changamoto sana baada ya cku chache hali ikarud kawaida
 
Hii ndio point sasa, system kusumbua kwa masaa au siku mbili sio shida sana lakin kuna sehemu umeme unakatwa mwezi, miezi unawaka usiku tu na hakuna tamko lolote hii ndio inaumiza sana tena sana! Ndio maana mi naona makosa ya inconveniences kama hizi kuwe kuna adhabu kama za China tu ili viongozi wawe wanajua thamani ya waliowaweka pale na machungu ya kulipa kodi!
 
Kabisa mkuu!

Nashauri hili suala la luku liwe endelevu, yani tukae mwezi au zaidi bila luku kufanya kazi, ili tuwakomoe sukuma gang, mataga na marehemu.

Huku tukiiimba mi 10 tena kwa Samia na ccm mbele kwa mbele
MBONA KAMA HUFURAHI UTAWALA WA MAMA

ova
 
Sio kwamba umeme ulikuwa haukatiki ila tofauti na Sasa hivi umeme unakatika huoni jitihada zozote. Raisi kimya , Waziri kimya Hadi Bunge kimya.


Kipindi Cha Magu umeme ulikuwa unakatika ila lazima issue iwe addressed hata na Waziri Asap. Sio Sasa hivi Mambo yanajiendea tu.
 
umeme labda unakatika huko kwenu kutokana na matengenezo, mimi wiki nzima haujawahi kukatika
 
Wewe umeendeshwa na hisia zaidi.. Kwa sababu umesema umemkumbuka kwa kupitia suala la umeme... Kwa mantiki hiyo , ulishamsahau ila kadhia ya umeme ndio imekufanya ukukumbe..... Kama pasingekuwa na tatizo la umeme usingesema lolote ... Basi kwa taarifa mtu anapimwa kwa mambo mengi sio jambo moja ... Kero moja haifanyi umkubali au kutomkubali mtu.. Pimia katika ujumla wake... Kama ni umeme mimi sijapata tatizo lolote la umeme na utawala wa mama uko vizuri, sijaona tatizo la kunifanya eti nimkumbe JPM.... Kazi iendelee
 

[emoji23][emoji23][emoji23] tutaona mengi sana, hapo ndipo alipoanza kufeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…