Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Kwa nchi kama Tanzania sababu waga haziishi, Unaweza kuambiwa hata maji yameanza kupungu, mara sijui Turbines zinafeli kuzunguka, au upepo ni mkali sana eneo la Rufiji una sababisha maji yanarudi kinyumenyume hivyo mashine hazizunguki..

Hii nchi ngumu sana..
Na hiyo yote sababu ya sukuma gang!

Mi 10 tena kwa mama! Ccm mbele kwa mbele.

Huku kukatika kwa network ya luku lazima zoezi hili liwe endelevu ili kuwakomoa mataga na marehemu.
 
Sukuma gang and Chato Inc at their best! He is gone! Tunalinda legacy!! Chato Hoyeee!!

Kwamba umeme ulikuwa haukatiki? Majambazi na wanyanganyi wakubwa!! Mkafanye kazi sasa mle kwa jasho mlizoea vya kunyonga na kushangilia watu wakiumia!
Kabisa mkuu!

Nashauri hili suala la luku liwe endelevu, yani tukae mwezi au zaidi bila luku kufanya kazi, ili tuwakomoe sukuma gang, mataga na marehemu.

Huku tukiiimba mi 10 tena kwa Samia na ccm mbele kwa mbele
 
Ni afadhali ya haya yanayotendeka sasa kuliko aliyiyafanya huyo sadist
 
Kwanza nianze kwa kukiri kwamba mimi ni sio mwanasiasa ila kwa kipindi fulani nilikuwa shabiki mkubwa wa chadema.Kiukweli miongoni mwa wale waliokuwa wakimponda sana na hata kutokuhuzunishwa na kwenda kwa mwendazake na mimi nilikuwemo.Ninakiri wazi kuwa nilifanya makosa makubwa sana na sikujua kuwa nilikuwa nakataa almasi kwa kukusanya kokoto...
Tulia wewe!..

Nashauri huo mzigo ukae hata miezi 10

Ili mama awakomoe vizuri mataga na sukuma gang
 
Unawaza na kukumbuka juu ya umeme badala ya ajira ya ulichosomea? Au ulisomea kuwa kinyozi?
 
Nianze kwa kusema kuwa mimi sio mwana CCM wala CHADEMA. Mimi huwa napenda uongozi mzuri na kiongozi mzuri na sio chama alichotokea. Hayati Dr. Magufuli alifanya mambo mengi sana na aliumiza wengi kwa ajili ya public interests na huu ndio ukweli haijalishi watu wakapinga...
Watu mnapenda sana kujisahaulisha. Kipindi cha Shujaa mambo mengi ya hovyo yalikuwa yanatokea, likiwemo hilo la umeme kukatika ila uhuru wa kupiga kelele dhidi ya hayo maovu haukuwepo kama ilivyo sasa. Sasa bahati mbaya wengi kukosekana kwa uhuru huo wa kuongea manakutafasiri kama mambo yalikuwa yanakwenda vizuri.

Jaribu kujikumbusha ukiwa na mawazo huru.
 

Nianze kwa kusema kuwa mimi sio mwana CCM wala CHADEMA. Mimi huwa napenda uongozi mzuri na kiongozi mzuri na sio chama alichotokea. Hayati Dr. Magufuli alifanya mambo mengi sana na aliumiza wengi kwa ajili ya public interests na huu ndio ukweli haijalishi watu wakapinga...
Tumia sola au generator
 
Sema umemiss propaganda za kwenye macamera.
Umeme umekatika zama zote
 
Zege iongezwe ktk kaburi lake tafadhali hata kwa gharama zangu. Mwendazake namkumbuka kwa ukatili wake, ubabe, unyang'anyi, USHAMBA, jitu lililokosa utu, hofu ya Mungu, ubinadamu, upendo, jitu likikosa simile lilotaka kutuongoza kama familiavyake, jitu lililoshindwa kabisa kuheshimu Sheria katiba na kanuni. Asante sana corona.
 
Acha mambo yako! Hapa npo naishi mtaa wa Bugando, jijini Mwanza Toka mwezi wa 12 mwaka jana mtaa jirani wa Igogo kusini kila siku umeme ikifika saa 1 lazima ukate na urudi saa 5 au 6 usiku na siku zingine asubuhi ya siku inayofata, ila kuanzia mwezi wa 3 mwishoni tatizo halipo saiv naona umeme upo 24hrs labda zitokee inevitable emergencies za kawaida...
Mkuu nikuombe msamaha ila nyie team jk mmetuharibia nchi na saizi mnataka kumpeleka mama wa watu ila msijali tupo hapa chini

#gogo gang
#sukuma gang
#chadema4revolution
 
Kukatika kwa umeme kunatusaidia matumizi ,Zanzibar walikatiwa Umeme miesi minne Rais wa wakati ule kutokea CCM Mh.Karume aksema kukatika kumesaidia wananchi kuwa na hela mifukoni.maana zote zingeenda kwenye umeme. Saa ingine inasadia sana .
 
Sis huwa hatujali tumeona Awamu zote za Maraisi wa Nchi hii kila mmoja alikuja na yake kwahiyo tukianza kuwakumbuka si itakuwa tafrani

Kuna hadi Babu (Rip) mmoja alikuwa akisema anawakumbuka Wakoloni alikuwa anasema Wakoloni walikuwa wanajua Kutawala kuliko Nyerere
Naungana na babu ajira zilijaa tele, kilimo kililipa, biashara zilitoka mkoloni hakuwa na shida mwafrika kumiliki mali. Nyerere alituletea umasikini nchini akishirikiana na sokoine hawakutaka watu wamiliki mali waliwapora watz mali zao pesa, majumba, ardhi nk.

Na kuwaambukiza watz umasikini Ili waweze kuwatawala,ashukuliwe Mzee Mwinyi ndie aliyewafanya watz waanze kumiliki mali majumba na pesa. Awamu ya mwendazake ikaja kuwapora watu mali na pesa zao kwa kuwasomesha namba ili wawe masikini ili watawaliwe.
 

Nianze kwa kusema kuwa mimi sio mwana CCM wala CHADEMA. Mimi huwa napenda uongozi mzuri na kiongozi mzuri na sio chama alichotokea. Hayati Dr. Magufuli alifanya mambo mengi sana na aliumiza wengi kwa ajili ya public interests na huu ndio ukweli haijalishi watu wakapinga...
Tatizo mlimuabudu kupitiiza na mkafikia mahali kuona kuwa yeye ni yote juu ya yote. Teknolojia tunayotumia ya mawasiliano tumekopa kwa mliokuwa mnawaita beberus hivyo kukwama sio jambo la ajabu.

Mbona mwaka jana mwezi wa pili mfumo wa malipo wa TANAPA na Ngorongoro haukufanya kazi zaidi ya wiki moja na huyo uliyemkumbuka alikuwepo lakini hamkulalamika?.
 
Kuna wajinga wamezusha eti umeme haununuliki kwenye simu nimewasceenia nilinunua Jana kupitia TIGO pesa saa 11 jioni wameingia mitini. Matendo anajifanya Mama ni mwiba Kwa vibaraka WA Dicteta waliachwa ndio maana wanampaka Mama matope asiyostahili.
 
Back
Top Bottom