Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Na hiyo yote sababu ya sukuma gang!Kwa nchi kama Tanzania sababu waga haziishi, Unaweza kuambiwa hata maji yameanza kupungu, mara sijui Turbines zinafeli kuzunguka, au upepo ni mkali sana eneo la Rufiji una sababisha maji yanarudi kinyumenyume hivyo mashine hazizunguki..
Hii nchi ngumu sana..
Mi 10 tena kwa mama! Ccm mbele kwa mbele.
Huku kukatika kwa network ya luku lazima zoezi hili liwe endelevu ili kuwakomoa mataga na marehemu.