Na hili litawatafuna watumishi mpaka siku wanaingia kaburini.Kuwaweka wafanyakazi wa Uma miaka 7 bila nyongeza ya mshahara wala kupanda daraja. Hili haliwezi kusahaulika
He was in a class of his own,,special case..RAIS ASIYEJALI ASIYE NA CHEMBE YA UTU!
Heri yako wewe unafiki unekutupa mkono.Uzi huu ufutwe mara moja, hakuna mazuri katikati ya “tope”
😂😂😂😂😂Kwakweli wasukuma tena hapanaHatutakuja turudie tena makosa! Nyinyi muendeleze tu ishu zenu za kilimo na ufugaji. Haitokuja itokee mkapewa tena Nchi.
Sasa ni zamu ya Tanga!
Huyu si ndiye aliyeiba kura uchaguzi uliopita au siyo yeye?Kwa kweli sijafurahi kabisa kumpoteza kiongozi mahiri kama john pombe magufuli alikua hodari sana katika uongozi wake mianya ya rushwa alikomesha, uonevu, huduma katika taasisi za kiserikali zilikua zikitolewa kwa heshima na bila ubaguzi, kajenga miradi mingi sana nchini, elimu bure, miundombinu, hudumu hospitalini ziliboreshwa, huduma za maji mikoa mbalimbali alitoa fedha miradi ikamilishwe, uwanja wa ndege wa mwl Julius Nyerere aliukarabati kwa ufupi Rais wangu kifo chako John Pombe Magufuli umeniachia simanzi moyoni mwangu,