Ajabu ya thread hii;Magufuli baba nakulilia sana ulikuwa na ndoto na Tanzania ulitaka Watanzania waishi maisha mazuri ndio maana kasi yako ya kujenga miundombinu ya Afya ilishika kasi kila mahali baba yangu Magufuli umetuachia Mama Samia binafsi nimekuwa sugu naye hanivutii ni kigeugeu anayetafuta sifa za kulazimisha
Magufuli baba uliamua kutengeneza miundombinu imara sana ya Reli na barabara uliamua kufufua shirika la TTCL lililokuwa limekufa Magufuli baba ninakukumbuka
Uliamua kufufua shirika la ndege la ATCL baba shirika hili linaendelea lkn huku wanatumia ndege hizohizo ulizonunua na hawaachi kukudhalilisha kwa kweli wanakudhalilisha yaani baba leo unaitwa mhalifu
Wanasahau kabisa Mtandao wa rami ulioutandaza Tanzania nzima kipindi ukiwa waziri na hata baada ya urais wako baba mama uliyetuachia anekuwa kinara wa kukuaibisha vijana wako uliowaamini leo ndio wanakamatwa kwa mfano SABAYA baba yuko jela sasa hivi wakati Uamsho ndio wanadunda mitaani
Baba Magufuli umejua kutuumbua baba tunakulilia kama unaweza fanya lolote baba fanya tunakulilia baba tunaumia baba
Uliyemuamini hakuwa rafiki yako anavuruga sana yaaani kwa kweli tunaumia baba mioyo yetu inavuja damu
Lami iliyojengwa kipindi magufuli ni waziri, sifa kwa magufuli na si raisi aliyekuwepo madarakani.
Lami iliyojengwa kipindi magufuli ni raisi, sifa kwa magufuli na si waziri wa ujenzi wa muda huo.
Mama anayeendeleza miradi iliyoachwa na magufuli, anatajwa ana chuki na magufuli. Magufuli aliyekuwa anaponda wazi kila kitu kilichokuwa kimefanywa na Kikwete (muathirika zaidi Wa vipondo), anaitwa mzalendo na mpenda watu.
HII NI HATARI NA NUSU KWAKWELI...NI MATOKEO YA CHUKI ONAPOKUWA IMEPITILIZA