Kwani ameonesha chuki za wazi kivipi? Katika lipi labda?
Mleta mada kuwa specific unazungumzia nini ambacho hakipo sawa kwa mfano?
Sikieni ninyi pro Magufuli;
Kama na ninyi ni wale watu wa kufurahia binadamu wenzenu KUUMIZWA,KUPORWA MALI,KUPIGWA RISASI,KUUAWA NA KUFUNGWA KWENYE VIROBA,KUNYIMA HAKI ZA MASLAHI WATUMISHI,KUTUKANA HADHARANI etc ,tambueni kuwa huyu mama hayupo hivyo na ni mtu wa Mungu wa kweli na mwenye hofu. Sio huyo mtu wenu aliyewaaminisha kuwa ana Mungu kumbe la hasha.
Msiwe watu wa kufurahia kuumizwa kwa wenzenu katika namna na hali zozote zile. Hata ulichoandika hukijui! Katika hayo uliyoandika kipi kimeharibika? Mama yupo imara anafanya kazi na Watanzania wanampenda na wana amani nafsini mwao maana hakuna hofu tena.
Trust me,Tanzania was a northern Korea kwa hali ilivyokuwa.Nchi haziendeshwi vile alivyokuwa anaendesha na baadhi ya wasaidizi wake.Mama kai-stablize nchi ipo saafi na mambo yanaenda.
Kama unaona si sawa nawe KUFA.Watanzania wanamshukuru Mungu sana sana kwa matendo na ukuu wake aliouonesha kwao katika chi yao.
Mungu mbariki mama Samia.