Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Magufuli baba nakulilia sana ulikuwa na ndoto na Tanzania ulitaka Watanzania waishi maisha mazuri ndio maana kasi yako ya kujenga miundombinu ya Afya ilishika kasi kila mahali baba yangu Magufuli umetuachia Mama Samia binafsi nimekuwa sugu naye hanivutii ni kigeugeu anayetafuta sifa za kulazimisha

Magufuli baba uliamua kutengeneza miundombinu imara sana ya Reli na barabara uliamua kufufua shirika la TTCL lililokuwa limekufa Magufuli baba ninakukumbuka

Uliamua kufufua shirika la ndege la ATCL baba shirika hili linaendelea lkn huku wanatumia ndege hizohizo ulizonunua na hawaachi kukudhalilisha kwa kweli wanakudhalilisha yaani baba leo unaitwa mhalifu

Wanasahau kabisa Mtandao wa rami ulioutandaza Tanzania nzima kipindi ukiwa waziri na hata baada ya urais wako baba mama uliyetuachia anekuwa kinara wa kukuaibisha vijana wako uliowaamini leo ndio wanakamatwa kwa mfano SABAYA baba yuko jela sasa hivi wakati Uamsho ndio wanadunda mitaani

Baba Magufuli umejua kutuumbua baba tunakulilia kama unaweza fanya lolote baba fanya tunakulilia baba tunaumia baba

Uliyemuamini hakuwa rafiki yako anavuruga sana yaaani kwa kweli tunaumia baba mioyo yetu inavuja damu
Kwa Hiyo anakusikia??? Hebu tujifunze Kufikiri kwa Kina Kabla hatujatenda Lolote
 
Sisi kwetu tunasubiri amalize muda wake maana hatuamini Kama tunaraisi kikwetu familia inayoongozwa na mwanamke huwa haiheshimiki yaani wakurya, wasukuma tunapata taabu sana Kwanza nchi inarudi kwa Kiwete kule alikotutoa Mpambanaaji anko Magu nchi ameinyosha harafu huyu mwenye maumbile ya kike yule mwanamke ,,Sjui Kama nchi yetu ya kusadikika tutaifikia MOLA tusaidie la sivyo mfumo huu utaturudisha na kutupeleka mbele kwa kuupolomosha uchumi wetu kwa speed ya 4G..
Subirini miaka 10 ipite ndo mlete shombo zenu asante Mungu kwa uongoz wa Rais Samia
 
Magufuli baba nakulilia sana ulikuwa na ndoto na Tanzania ulitaka Watanzania waishi maisha mazuri ndio maana kasi yako ya kujenga miundombinu ya Afya ilishika kasi kila mahali baba yangu Magufuli umetuachia Mama Samia binafsi nimekuwa sugu naye hanivutii ni kigeugeu anayetafuta sifa za kulazimisha...
Maisha mazuri ya kutekana kuishi kwa hofu kubambikiziwa kesi kupigana risasi hadharani na kugawa pesa hovyo bila mpangilio ndo yalikuwa maisha mazuri kwenu siyo ? Endeleeni kulia ikibidi mwambieni gwajima na mwamposa wakamfufue
 
Tuachie mama yetu Rais mwelewa anaewekeza kwenye rasilimali watu na hiyo miundombinu .hataki visasi na nchi imetulia kuna amani upendo na kiwango cha furaha kinapanda kila siku.mama Samia oyeeee
 
Magufuli baba nakulilia sana ulikuwa na ndoto na Tanzania ulitaka Watanzania waishi maisha mazuri ndio maana kasi yako ya kujenga miundombinu ya Afya ilishika kasi kila mahali baba yangu Magufuli umetuachia Mama Samia binafsi nimekuwa sugu naye hanivutii ni kigeugeu anayetafuta sifa za kulazimisha..
Hv kisongo mtu anaruhusiwa kuwa na simu? Huu mwandiko km wa 7ya
 
Magufuli baba nakulilia sana ulikuwa na ndoto na Tanzania ulitaka Watanzania waishi maisha mazuri ndio maana kasi yako ya kujenga miundombinu ya Afya ilishika kasi kila mahali baba yangu Magufuli umetuachia Mama Samia binafsi nimekuwa sugu naye hanivutii ni kigeugeu anayetafuta sifa za kulazimisha..
Vipi watu kutekwa? Vipi watu kubambikiwa kodi na TRA? Vipi watu kutapeliwa korosho? Vipi kuharibiwa kwa biashara ya mbaazi? Vipi watu kubambikiwa kesi za utakatisaji pesa na uhujumu uchumi?

Vipi watu kuokotwa kwenye viroba? Vipi CAG aliposema matriliion ya fedha hayaonekani akafukuzwa kazi? Vipi kununua ndege bila ya kufuata taratibu na sheria za nchi? Vipi wanafunzi kunyimwa mikopo?

Vipo kudanganywa kwamba korona haipo Tanzania kama vile Mungu anakaa Tanzania? Maovu ni mengi kuliko mema. Uamuzi wa Mungu uheshimiwe.
 
Mama apunguze kucheza na Beat la Wanaharakati akitegemea atafurahisha kila mtu hao wapinzani anaowakumbatia ikifika 2023 ndo ataona rangi zao Halisi, Nashaka na Ccm kumfia mikononi
 
Magufuli baba nakulilia sana ulikuwa na ndoto na Tanzania ulitaka Watanzania waishi maisha mazuri ndio maana kasi yako ya kujenga miundombinu ya Afya ilishika kasi kila mahali baba yangu Magufuli umetuachia Mama Samia binafsi nimekuwa sugu naye hanivutii ni kigeugeu anayetafuta sifa za kulazimisha

Magufuli baba uliamua kutengeneza miundombinu imara sana ya Reli na barabara uliamua kufufua shirika la TTCL lililokuwa limekufa Magufuli baba ninakukumbuka

Uliamua kufufua shirika la ndege la ATCL baba shirika hili linaendelea lkn huku wanatumia ndege hizohizo ulizonunua na hawaachi kukudhalilisha kwa kweli wanakudhalilisha yaani baba leo unaitwa mhalifu

Wanasahau kabisa Mtandao wa rami ulioutandaza Tanzania nzima kipindi ukiwa waziri na hata baada ya urais wako baba mama uliyetuachia anekuwa kinara wa kukuaibisha vijana wako uliowaamini leo ndio wanakamatwa kwa mfano SABAYA baba yuko jela sasa hivi wakati Uamsho ndio wanadunda mitaani

Baba Magufuli umejua kutuumbua baba tunakulilia kama unaweza fanya lolote baba fanya tunakulilia baba tunaumia baba

Uliyemuamini hakuwa rafiki yako anavuruga sana yaaani kwa kweli tunaumia baba mioyo yetu inavuja damu
Hii ndiyo shida ya mwenye misukule anapokufa yeye kabla ya misukule yake. Hebu na nyie kufeni mumfuate huko.

Yeye mwenyewe Magufuli bado yuko mlangoni na kabegi kake Shetani hajamdfungulia mlango kwa kuwa kwa UOVU aliofanya kwa Watanzania hajui amuweke wapi
 
Kwani ameonesha chuki za wazi kivipi? Katika lipi labda?

Mleta mada kuwa specific unazungumzia nini ambacho hakipo sawa kwa mfano?

Sikieni ninyi pro Magufuli;
Kama na ninyi ni wale watu wa kufurahia binadamu wenzenu KUUMIZWA,KUPORWA MALI,KUPIGWA RISASI,KUUAWA NA KUFUNGWA KWENYE VIROBA,KUNYIMA HAKI ZA MASLAHI WATUMISHI,KUTUKANA HADHARANI etc ,tambueni kuwa huyu mama hayupo hivyo na ni mtu wa Mungu wa kweli na mwenye hofu. Sio huyo mtu wenu aliyewaaminisha kuwa ana Mungu kumbe la hasha.

Msiwe watu wa kufurahia kuumizwa kwa wenzenu katika namna na hali zozote zile. Hata ulichoandika hukijui! Katika hayo uliyoandika kipi kimeharibika? Mama yupo imara anafanya kazi na Watanzania wanampenda na wana amani nafsini mwao maana hakuna hofu tena.

Trust me,Tanzania was a northern Korea kwa hali ilivyokuwa.Nchi haziendeshwi vile alivyokuwa anaendesha na baadhi ya wasaidizi wake.Mama kai-stablize nchi ipo saafi na mambo yanaenda.

Kama unaona si sawa nawe KUFA.Watanzania wanamshukuru Mungu sana sana kwa matendo na ukuu wake aliouonesha kwao katika chi yao.

Mungu mbariki mama Samia.
Kweli tupu na kweli kabisa. Mama anafanya uponyaji Ila yale mamisukule ya Mwendazake yana athirika kwa vile yalikuwa wanufaika wa mfumo kandamizi
 
Magufuli baba nakulilia sana ulikuwa na ndoto na Tanzania ulitaka Watanzania waishi maisha mazuri ndio maana kasi yako ya kujenga miundombinu ya Afya ilishika kasi kila mahali baba yangu Magufuli umetuachia Mama Samia binafsi nimekuwa sugu naye hanivutii ni kigeugeu anayetafuta sifa za kulazimisha

Magufuli baba uliamua kutengeneza miundombinu imara sana ya Reli na barabara uliamua kufufua shirika la TTCL lililokuwa limekufa Magufuli baba ninakukumbuka

Uliamua kufufua shirika la ndege la ATCL baba shirika hili linaendelea lkn huku wanatumia ndege hizohizo ulizonunua na hawaachi kukudhalilisha kwa kweli wanakudhalilisha yaani baba leo unaitwa mhalifu

Wanasahau kabisa Mtandao wa rami ulioutandaza Tanzania nzima kipindi ukiwa waziri na hata baada ya urais wako baba mama uliyetuachia anekuwa kinara wa kukuaibisha vijana wako uliowaamini leo ndio wanakamatwa kwa mfano SABAYA baba yuko jela sasa hivi wakati Uamsho ndio wanadunda mitaani

Baba Magufuli umejua kutuumbua baba tunakulilia kama unaweza fanya lolote baba fanya tunakulilia baba tunaumia baba

Uliyemuamini hakuwa rafiki yako anavuruga sana yaaani kwa kweli tunaumia baba mioyo yetu inavuja damu
Wazazi wako wote wapo hai?kama wako hai halali yako kumlilia mwehu maana msiba bado haujakupata,kama wote au mmoja wapo kafa bado unashusha chozi kwaajili mwehu yule nakushauri kimbia hospital kacheck afya ya akili.
 
Magufuli baba nakulilia sana ulikuwa na ndoto na Tanzania ulitaka Watanzania waishi maisha mazuri ndio maana kasi yako ya kujenga miundombinu ya Afya ilishika kasi kila mahali baba yangu Magufuli umetuachia Mama Samia binafsi nimekuwa sugu naye hanivutii ni kigeugeu anayetafuta sifa za kulazimisha

Magufuli baba uliamua kutengeneza miundombinu imara sana ya Reli na barabara uliamua kufufua shirika la TTCL lililokuwa limekufa Magufuli baba ninakukumbuka

Uliamua kufufua shirika la ndege la ATCL baba shirika hili linaendelea lkn huku wanatumia ndege hizohizo ulizonunua na hawaachi kukudhalilisha kwa kweli wanakudhalilisha yaani baba leo unaitwa mhalifu

Wanasahau kabisa Mtandao wa rami ulioutandaza Tanzania nzima kipindi ukiwa waziri na hata baada ya urais wako baba mama uliyetuachia anekuwa kinara wa kukuaibisha vijana wako uliowaamini leo ndio wanakamatwa kwa mfano SABAYA baba yuko jela sasa hivi wakati Uamsho ndio wanadunda mitaani

Baba Magufuli umejua kutuumbua baba tunakulilia kama unaweza fanya lolote baba fanya tunakulilia baba tunaumia baba

Uliyemuamini hakuwa rafiki yako anavuruga sana yaaani kwa kweli tunaumia baba mioyo yetu inavuja damu
Takataka
 
Lijinga kweli weye!Unaacha kumlilia Mungu unamlilia John?Such a pompompo!😝😝😝😝😝
 
Si umfate alipo, unalia wakati ipo unapiga msosi mzuri, funga siku 21 KWa kunywa maji tu KWa ajili yake Kama kweli wampenda ,acha unafiki
Magufuli baba nakulilia sana ulikuwa na ndoto na Tanzania ulitaka Watanzania waishi maisha mazuri ndio maana kasi yako ya kujenga miundombinu ya Afya ilishika kasi kila mahali baba yangu Magufuli umetuachia Mama Samia binafsi nimekuwa sugu naye hanivutii ni kigeugeu anayetafuta sifa za kulazimisha...
 
Mama apunguze kucheza na Beat la Wanaharakati akitegemea atafurahisha kila mtu hao wapinzani anaowakumbatia ikifika 2023 ndo ataona rangi zao Halisi, Nashaka na Ccm kumfia mikononi
KWANI UBAYA WA MAMA SAMIA NI UPI?? KWAHIYO MLITAKA CCM TU NDO MUWE NA HAKI KTK NCHI HII? MTATESEKA SANA RAIS SAMIA NGANGARI KUMI TENA HAUPENDI UONGOZ WAKE HATA BURUNDI NI NCHI UNAWEZA KWENDA
 
Nani?Maliyemu Joni Magufuli?Ntamkumbuka kwa utekaji wake.Anakuteka halafu anataka alipwe ransom aka kikombozi.Ila jamaa alikuwa muhuni.Muhuni in the house!😝😝😝😝😝😝
 
Back
Top Bottom