Tukae kama bunge tubadilishe katiba halafu tumlazimshe atawale mpaka atakapoamua kuacha mwenyewe.

Ndiooo. Atalazimishwa take asitake.

Sasa pale penye Menda Jake veve Veka mama Shamia shuluhu hashaann
 
Mkataba wa ununuzi wa ndege uko wapi?

Mkataba wa ujenzi wa SGR uko wapi?

Mkataba wa ujenzi wa bwawa la umeme uko wapi?

Mnaoomba mkataba wa Ujenzi wa bandari bagamoyo sawa mna hoja ila na Mimi nataka hii mkataba ya Ndege, SGR na bwawa la umeme
lililokata miti elfu moja hata hatujui hiyo miti ilipelekwa wapi?

Uzalendo wa Magufuli uko wapi?
 
Hakuna hata moja naweza mkumbuka
 
Sikupata nyongeza ya mshahara wala kupanda daraja
 
Kipindi Cha dhalimu jiwe ilikuwa ukiona defenda ya polisi mtaani kwenu basi amani inapotea kabisa na watu hujuficha hata kama hawana makosa,

Lakini sikuhizi defenda zinabeba hadi wagonjwa kuwasaidia kuwapeleka hospitali.

Asante mama, unapiga mwingi.

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Kila nikiona afrika wanavyo mlilia magufuli ndipo na amini ukweli nabii akubaliki kwao.

Many countries in Africa trust magufuli was a king of afrika kuna wa Tanzania wanao mtukana kumuita ni jambazi, katili na majina mengi mabaya mabaya my friend ukitaka kujua samani ya aliye kuwa kiongozi wenu JPm try to ask others countries.

Kama ufaransa kuna Kaka alimpiga mzungu eti kisa alisema magufuli alijafanya mkali covid akawa mkali zaidi waka anza kurushiana maneno mkali makali.

Magufuli alitaka kutuaminisha kuwa bila wazungu tuna weza. And believe me in next years TZ ungeli kuwa one of the powerful country in The world.

Lakini alicho kuwa na kifanya magufuli Ali kuwa na taka kuambia awa Wajenga wanao jiona wao ndo Mungu watu kuwa ata bila wao Tanzania ina weza na ukweli mngeliweza kama kuna dugudugu fulani amini usiamini singeli isha.

Ok ila ipo siku samani ya magufuli itaonekana tu kama sio kwa kizazi iki basi kizazi kijacho Kitaona samani yake na mawazo yake ya kutaka Tanzania mjitegemea wata Ifanyia kazi.

Sorry kwa Kiswahili changu my friend I’m not Tanzania.
 
Kama sivyo mfuateni mukasaidiane kukoleza moto wa jehanamu,sasa hivi tuna mama Samia, watumishi wanapandishwa madaraja, vyeo vinapanda kwa kwenda mbele, waliobambikizwa kesi wanaachiwa huru, kimataifa ndio usiseme amerudisha uhusiano wa kimataifa, n.k na kazi inaendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…