Jambo la kushukuru wengi wanaompinga Jiwe sasa hivi ni wanaccm wenyewe! Wengi akili zimeanza kuwarudia, yule mzee hakupaswa kuwa rais wa nchi!Alijipendekeza sana kwenye kampeni akitarajia fadhila.
Baada ya uchaguzi Rais Magufuli kwa uzalendo wake alijiweka kando kabisa na wanaojipendekeza kama huyu mwana CCM mzandiki...
Unajua tatizo la ccm kabla ya jpm , ilikuwa ni chukua chako mapema (ccm) hilo halipingiki.Magufuli alikua na makosa mengi lakini kwenye kodi alikua sahihi.
Watu kama Antony Dialo ni wezi wanajulikana na wakwepa kodi, hakuna asiefahamu hilo.
Mwambieni alipe madeni ya mishahara, alipe maji, alipe umeme maana hao wanamdai sio kidogo.
MweyeweWa kwako
Ukiona vijembe vinakujia ujue vijembe vilitanguliaChangia mamang acha vijembe
Mimi nitamkumbuka kwa kuminya demokrasia, hususan kuvuruga uchaguzi wa serikali za mitaa wa 2019 na uchagyzi mkuu wa 2020.He is My sons's legacy
Amenisaidia Mambo mengi.
JPM kafanya mengi makubwa kuliko Rais yeyote aliwewahi pita nakosa la kuandika kabisa vidole vinatetemeka, Nimelia Mimi leo
Naogopa nchi yetu inarudi shimoni
MUNGU TUANGALIE TENA WAJA WAKO
😍😍He is My sons's legacy
Amenisaidia Mambo mengi.
JPM kafanya mengi makubwa kuliko Rais yeyote aliwewahi pita nakosa la kuandika kabisa vidole vinatetemeka, Nimelia Mimi leo
Naogopa nchi yetu inarudi shimoni
MUNGU TUANGALIE TENA WAJA WAKO
Toa hoja mama anataka tushindane kwa hoja,Si unajua mkeka wa maDeD badoUkiona vijembe vinakujia ujue vijembe vilitangulia
Unaandika kama kwamba kila mtu anajua mawazo yako. Alijipendekeza....nani?Alijipendekeza sana kwenye kampeni akitarajia fadhila.
Baada ya uchaguzi Rais Magufuli kwa uzalendo wake alijiweka kando kabisa na wanaojipendekeza kama huyu mwana CCM mzandiki.
Isitoshe jamaa ikagundulika vyombo vyake vya habari vilikwepa kodi akanyooshwa kisawasawa.
Hakika Magufuli alikuwa mzalendo na alijitenga na mafisadi.
Leo hii Chama kinaruhusu atukanwe na mafisadi!!!
RiP JPM
VIVA JPM
YOUR LEGACY IS HERE TO STAY
Na kweli Legacy ya UKATILI NA CHUKI ITADUMU MILELEMagufuli's legacy will live for ever.