Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Bila kusahau Musiba.
Musiba hadi anaumwa siku hizi kwa kukosa ruzuku,tangu mfadhili wake amekufa ajaweza tena kulipa mishahara wafanyakazi wake anaburuzwa mahakamani.
Napataga shida Sana pale naposikia kuna watu wanamtambua Kuwa jiwe alikuwa ni raisi wa wanyonge
 
Napataga shida Sana pale naposikia kuna watu wanamtambua Kuwa jiwe alikuwa ni raisi wa wanyonge
Yule aliwatengeneza wanyonge ili wamtumikie.
Kazalisha machinga kisha akajifanya kuwasaidia wakae barabarani baada ya kuuwa ajira kwenye sekta binafsi na kilimo wengi wakakosa Kazi wakageukia umachinga.
Ccm wote ni sawa hayupo anaemzidi mwenzake.
 
Sisi Magufulist na wanachama wa chama cha HKT tunaendelea kushinda kwa hoja zetu kuwa Magufuli kweli alikuwa Rais wa Wanyonge ambaye hakuwa tayari kwa namna yoyote ile kuruhusu wananchi masikini wanyanyasike
Wakati anaingia bei ya sukari aliikuta shilingi ngapi?na nini kilitokea?kwenye mafuta ya kula nini kilitokea, kilichopelekea wafanyabiashara kuacha kuingiza crude oil?na matokeo yake ndio hayo, CCM, ni ile ile wala hakuna mtetezi wa mwananchi, kwani aliye najisi uchaguzi wa 2020, ni nani hadi kupelekea bunge zima kuwa la chama kimoja?
 
Ajiulize, kama anataka Pesa zakutengeneza barabara, Magufuli alikuwa anatoa wapi?
Alikuwa anakopa, mbona lipo wazi hilo! Zingine alikuwa anachota mifuko ya hifadhi ya jamii, nhif na kila sehemu aliyoweza kukwapua hela
 
Nakuona mzee mmoja ya wale vijana wanaofanya kazi kwenye karakana aliyoituhumu ole sabaya. Hivi IFRS yuko wapi siku hizi? Au alishapotezwa
 
Sisi Magufulist na wanachama wa chama cha HKT tunaendelea kushinda kwa hoja zetu kuwa Magufuli kweli alikuwa Rais wa Wanyonge ambaye hakuwa tayari kwa namna yoyote ile kuruhusu wananchi masikini wanyanyasike

Una maana tukumbuke dhuluma za Mali hadi maisha zilizokuwa zimetamalaki?

Mwendazake ndiye aliyetufikisha hapo. Pana nafuu lakini safari bado!

Yapi ambayo mara hii umeyasahau?
 
Hakika.....

Na Magufuli ndiye aliyemchagua Kipenzi chetu mh.SSH na wakaja na slogan ya "HAPA KAZI TU".....

Leo awamu ya 6 ni mwendelezo wa AWAMU YA 5...."KAZI INAENDELEA"......

Kisichofanana ni kimoja tu ,kuwa TAIFA halirudi nyuma....

Njia za kutatua changamoto za taifa hubuniwa Kila uchao....na awamu hii imebuni njia zake....

JANA SI LEO.....

Makosa ya LEO hayatokuwa ya KESHO.....

Najitayarisha KISAIKOLOJIA kuiona AWAMU YA 7 ikiwa na njia MSETO ama TOFAUTI kidogo na AWAMU HII YA 6 hata kama Rais atakuwa ni Kipenzi cha Watanzania mh.SSH!!

#RipJPM
#MunguMbarikiNaKumlindaSSH

TUSEME....

Aaaaaaaaamin
Aaaaaaaaamin
Aaaaaaaaamin🙏

Kuna tofauti kidogo kati ya chawa wa mama na chawa wa yule:

IMG_20210711_205649_038.jpg

Au nasema uongo bwana Jumbe Brown?
 
Leo hii mifuko imetoboka? Mbona hawachoti?
Au hawakopi?
RIP magufuli
Siyo jambo sahihi kukwapua hela kwenye hii mifuko, ndio maana leo hii wastaafu wanacheleweshewa hela zao sababu nyingi Magu alizikwapua. Kwa sasa yanatengenezwa mazingira ya kukopa mikopo yenye riba nafuu kwa kurudisha urafiki na nchi zenye kutoa mikopo hiyo. Awamu ya 5 mikopo yake ilikuwa ya kuliumiza taifa, na hiyo ilisababishwa na kichwa ngumu cha rais aliyekuwepo.
 
Marehemu hajitetei.

Hivi hata Haya ya kupandisha kodi mbali mbali pia yanamuhusu magufuli?

Magufuli ameshamaliza yake ya duniani.
Na ndy raisi wangu bora kabisa.

Wacha waliobaki waupige mwingi..

Na badoo ,,
Nyakati ngumu zinakuja..tusubiri.
 
Back
Top Bottom