Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Namlaani Mwiguru nchemba na tozo zake tena asikae akaona jua.

Huyo mwendazake sijambumbuka and will not happen.
 
CGR, ndio mdudu gani?sasa mkuu labda utuambie nini maana ya kulipa kitu kwa CASH!!ina maana kama unakopa kutoka A, unaenda kumlipa B, kwa cash hapo ki uchumi utasema wewe una pesa??alichokuwa anakifanya ndio hicho!!kama aliyoyafanya yote hayo na deni la taifa likawa ni lile lile alilolikuta 2015 la trilioni 25, hapo ningekuelewa na angetakiwa pongezi!!lakini kama ndani ya miaka mitano tu aliweza kukopa trilioni 35 na huku kila kitu anasema ni pesa za ndani tuelewe vipi?kama sio ulaghai tu?
Kila Rais aliyeingia madarakani aliongeza deni,Mkapa tu ndie aliyejalibu kupunguza deni tu,naye kwasababu aliuza mashirika mengi na viwanda vya umma,akawa na ela za kulipa, lakini pamoja na deni kupaa hawakufanya chochote,sana sana ilikuwa ni kusafiri kwenda kwenye bambea huko Ulaya,Mwamba Magufuri alipoingia tu kaanza kutoa elimu bure, unafikiri ela angelipata wapi,;kama sio kukopa kwanza?kakuta hospital wakina mama wanajifungulia chini,kakuta nchi aina ndege hata moja, kwenye maziwa meli zote mbovu,hata wewe ungelifanyaje kwa kipindi kifupi?wakina Kikwete wamekaa miaka kumi hata ndege ya watu watatu wameshindwa kuinunua pamoja na kukopa, Mkapa pamoja na Kuuza mashirika mengi ya umma naye alishindwa kununua hata moja,kisa eti ununuzi wa ndege ni garama kubwa, Magufuri alifufua mpaka reli aliyokuwa imeshindikana kwa miaka 28 ,mfn reli ya kwenda tanga,to kilimanjaro yangelifanyika pasipo angalau kukopa? Magufuri atabaki kuwa shujaa wa taifa hili kafanya Mambo mengi kwa mda mfupi ambayo yaliwashinda Marais wasitahafu
 
Sasa kama unajua kuwa ni kweli alikopa tena sana, inakuwaje useme eti pesa alikuwa anatoa wapi?!!hoja kubwa ni kwnini alikuwa anakopa kwa siri?na kuwaaminisha watu kuwa zilikuwa pesa za ndani?!!na ndio sasa tunaonja machungu ya miradi hiyo kila siku ni kodi kuongezwa tu.
 
Ukatili, ukabila, ubaguzi, utekaji nyara, kuua watu, kuharibu uchumi wa nchi, upendeleo wa wazi kwa watoto wa dada, kujlimbikizia mali, kujidai na kujimwambafy, kudharirisha wanawake na mauchafu mengi kibao....
 
Kila Rais aliyeingia madarakani aliongeza deni,Mkapa tu ndie aliyejalibu kupunguza deni tu,naye kwasababu aliuza mashirika mengi na viwanda vya umma,akawa na ela za kulipa, lakini pamoja na deni kupaa hawakufanya chochote,sana sana ilikuwa ni kusafiri kwenda kwenye bambea huko Ulaya,Mwamba Magufuri alipoingia tu kaanza kutoa elimu bure, unafikiri ela angelipata wapi,;kama sio kukopa kwanza?kakuta hospital wakina mama wanajifungulia chini,kakuta nchi aina ndege hata moja, kwenye maziwa meli zote mbovu,hata wewe ungelifanyaje kwa kipindi kifupi?wakina Kikwete wamekaa miaka kumi hata ndege ya watu watatu wameshindwa kuinunua pamoja na kukopa, Mkapa pamoja na Kuuza mashirika mengi ya umma naye alishindwa kununua hata moja,kisa eti ununuzi wa ndege ni garama kubwa, Magufuri alifufua mpaka reli aliyokuwa imeshindikana kwa miaka 28 ,mfn reli ya kwenda tanga,to kilimanjaro yangelifanyika pasipo angalau kukopa? Magufuri atabaki kuwa shujaa wa taifa hili kafanya Mambo mengi kwa mda mfupi ambayo yaliwashinda Marais wasitahafu
Ni aibu kupita comment hii bila kuipa like.

Umeongea vyema mkuu..
 
Sasa kama unajua kuwa ni kweli alikopa tena sana, inakuwaje useme eti pesa alikuwa anatoa wapi?!!hoja kubwa ni kwnini alikuwa anakopa kwa siri?na kuwaaminisha watu kuwa zilikuwa pesa za ndani?!!na ndio sasa tunaonja machungu ya miradi hiyo kila siku ni kodi kuongezwa tu.
Wewe unajua mpaka sasa Samia ameisha kopa ngapi? Alafu kama alikuwa anajificha kwenye kukopa wewe ulijuaje kama Magufuri alikuwa anakopa?hata kwako sio kila unachokifanya unanjulisha kila Mtu.
 
Sasa kwangu nikikopa hata iwe siri si nitalipa mwenyewe?mambo ya nchi unalinganisha na serikali, anayelipa hayo madeni ni raisi?yeye SAMIA, mbona yupo wazi mala ngapi tunaona waziri wa fedha anasaini mikopo toka kwa mabeberu?watu walijua kutoka kwenye ripoti za CAG, kila mwaka ikionyesha deni kukua, ila sio utawala wake kukubali hadharani!!
 
JPM alikuwa na Akili kubwa YAKUTAFUTA PESA za maendeleo, bila kuwaumiza Watanzania.

JPM alikuwa Mtu makini Sana, alifikiria mbali Sana, Kila alichofkria Kwanza aliwafkria Watanzania watafaidika vipi.?

JPM alikuwa Mzalendo wa Taifa lake, hakuruhusu Makinikia kusafirishwa nje bila kujua Gharama zake, alijiuliza Maswali mengi Sana,. Kwann wasafirishe?, Kama hayana Faida kwanini Wao wanatumia Gharama kubwa kuyasafirisha ?

JPM alituambia Watanzania tusitumie Barakoa Kutoka nje, kwa sababu White People , kupitia Wimbi hili la COVID-19, walipandikiza Virus vya Corona katika Barakoa, ili Watanzania tuendelee kudhoofisha Miili yetu, na wao kuuza Barakoa nchini, Bali alitusihi tushone Barakoa zetu wenyewe na Tuvae.

JPM aliamini kabsa , NYUNGU inaweza kusaidia KUPUNGUA Makali ya Virus Vya Corona, ndo maana aliishinda Corona.

JPM aliamini kabsa MUNGU yupo, ndo maana alitenga siku za kumuombea MUNGU, atuepushe na Kutuvusha Salama katika hili Wimbi la Corona.

PUMZIKA KWA AMANI JEMEDARI WA AFRIKA, UMOJA WA MATAIFA PIA UMEKILI KUWA ULIKUWA KIONGOZI AMBAE ULIKUWA UNAJARI WANANCHI WAKE.

MAGUFURI HATUKO NAE TENA, WATANZANIA TUNAKUKUMBUKA SANA.

✓MIHAMALA NAIMANI UNGEKUWEPO UNGESEMA NENO.

✓PETROLI NA DIESEL NAIMANI UNGESEMA NENO.

YOTE KWA YOTE , PUMZIKA KWA AMANI BABA.
FB_IMG_1626440553553.jpg
 
Kwamba?

"JPM alituambia Watanzania tusitumie Barakoa Kutoka nje, kwa sababu White People , kupitia Wimbi hili la COVID-19, walipandikiza Virus vya Corona katika Barakoa, ili Watanzania tuendelee kudhoofisha Miili yetu, na wao kuuza Barakoa nchini, Bali alitusihi tushone Barakoa zetu wenyewe na Tuvae.

JPM aliamini kabsa , NYUNGU inaweza kusaidia KUPUNGUA Makali ya Virus Vya Corona, ndo maana aliishinda Corona."

Kwani Corona ilimchelewesha basi?

Wimbi #3 itaondoka sana na waganga wa kienyeji.

Hii mambo si ya kufanyia fyoko fyoko!
 
Ilimlamba mapema sn
 
Mi namkunbuka kwa kununua jogoo kwa laki moja na kulifanya kama mahari ya mama yake...

Pia namkumbuka kwa kuokota vichwa vya treni bandarini...

Sitamsahau kwa kula mahindi hadharani

Pipo yuzdi to dai in ze leki...

Not to zet extent...

Kila mtanzania atapata Noah yake kwenye mauzo ya makinikia...

Watu kama hawa hawana sababu ya kuishi...

Sadam Hussein Rais wa Kuwait...

Tanzania ni donor kantre...

Wapinzani ndio wametufikisha hapa...

Maendeleo hayana vyama...

Ili kusudi nikifa nikawe kiongozi wa malaika mbinguni...

Tumepima papai tukakuta lina Corona...

Hii nchi imechezewa sana...

Mnataka mpanuliwe? Mpanuliwe wapi?

Elimu ya bure sasa nendeni mkafyatue watoto...

Hawa msiwabomolee nyumba zao, maana hawa ndio walionipigia kura...

BAK Sky Eclat Evelyn Salt nisaidieni niliposahau

Hakika Huyu Mwamba ntamkumbuka kwa mengi sana wallah
 
Kwamba?

"JPM alituambia Watanzania tusitumie Barakoa Kutoka nje, kwa sababu White People , kupitia Wimbi hili la COVID-19, walipandikiza Virus vya Corona katika Barakoa, ili Watanzania tuendelee kudhoofisha Miili yetu, na wao kuuza Barakoa nchini, Bali alitusihi tushone Barakoa zetu wenyewe na Tuvae.

JPM aliamini kabsa , NYUNGU inaweza kusaidia KUPUNGUA Makali ya Virus Vya Corona, ndo maana aliishinda Corona."

Kwani Corona ilimchelewesha basi?

Wimbi #3 itaondoka sana na waganga wa kienyeji.

Hii mambo si ya kufanyia fyoko fyoko!
Wimbi #3 itaondoka sana na waganga wa kienyeji.

Waganga wa kienyeji ni wabobezi katika kupiga nyungu[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom