Napataga shida Sana pale naposikia kuna watu wanamtambua Kuwa jiwe alikuwa ni raisi wa wanyongeBila kusahau Musiba.
Musiba hadi anaumwa siku hizi kwa kukosa ruzuku,tangu mfadhili wake amekufa ajaweza tena kulipa mishahara wafanyakazi wake anaburuzwa mahakamani.
Yule aliwatengeneza wanyonge ili wamtumikie.Napataga shida Sana pale naposikia kuna watu wanamtambua Kuwa jiwe alikuwa ni raisi wa wanyonge
Ajiulize, kama anataka Pesa zakutengeneza barabara, Magufuli alikuwa anatoa wapi?Ndo maana ataki katiba mpya Ili kuhalalisha ujambazi huu kwa tozo hizi za dhuluma za kuwaibia masikini,sijui muislamu gani huyu anashiriki dhuluma Hakuna tozo kama hizi duniani kote.
Wakati anaingia bei ya sukari aliikuta shilingi ngapi?na nini kilitokea?kwenye mafuta ya kula nini kilitokea, kilichopelekea wafanyabiashara kuacha kuingiza crude oil?na matokeo yake ndio hayo, CCM, ni ile ile wala hakuna mtetezi wa mwananchi, kwani aliye najisi uchaguzi wa 2020, ni nani hadi kupelekea bunge zima kuwa la chama kimoja?Sisi Magufulist na wanachama wa chama cha HKT tunaendelea kushinda kwa hoja zetu kuwa Magufuli kweli alikuwa Rais wa Wanyonge ambaye hakuwa tayari kwa namna yoyote ile kuruhusu wananchi masikini wanyanyasike
Alikuwa anakopa, mbona lipo wazi hilo! Zingine alikuwa anachota mifuko ya hifadhi ya jamii, nhif na kila sehemu aliyoweza kukwapua helaAjiulize, kama anataka Pesa zakutengeneza barabara, Magufuli alikuwa anatoa wapi?
Ajiulize, kama anataka Pesa zakutengeneza barabara, Magufuli alikuwa anatoa wapi?
Nonsense.Jitu jizi lilichapa 1.5 trl
Sisi Magufulist na wanachama wa chama cha HKT tunaendelea kushinda kwa hoja zetu kuwa Magufuli kweli alikuwa Rais wa Wanyonge ambaye hakuwa tayari kwa namna yoyote ile kuruhusu wananchi masikini wanyanyasike
Hakika.....
Na Magufuli ndiye aliyemchagua Kipenzi chetu mh.SSH na wakaja na slogan ya "HAPA KAZI TU".....
Leo awamu ya 6 ni mwendelezo wa AWAMU YA 5...."KAZI INAENDELEA"......
Kisichofanana ni kimoja tu ,kuwa TAIFA halirudi nyuma....
Njia za kutatua changamoto za taifa hubuniwa Kila uchao....na awamu hii imebuni njia zake....
JANA SI LEO.....
Makosa ya LEO hayatokuwa ya KESHO.....
Najitayarisha KISAIKOLOJIA kuiona AWAMU YA 7 ikiwa na njia MSETO ama TOFAUTI kidogo na AWAMU HII YA 6 hata kama Rais atakuwa ni Kipenzi cha Watanzania mh.SSH!!
#RipJPM
#MunguMbarikiNaKumlindaSSH
TUSEME....
Aaaaaaaaamin
Aaaaaaaaamin
Aaaaaaaaamin🙏
Mkuu wangu banaa daah 🤣Kuna tofauti kidogo kati ya chawa wa mama na chawa wa yule:
View attachment 1855399
Au nasema uongo bwana Jumbe Brown?
Jitu jizi lilichapa 1.5 trl
Halafu bado misambwanda wanataka tumuenzi!!!Hiyo Mkuu ilikuwa fiscal year 2016/2017. Fiscal year 2017/2018 akapora tena 1.2 trillions toka hazina.
Wewe wasemaNonsense.
Leo hii mifuko imetoboka? Mbona hawachoti?Alikuwa anakopa, mbona lipo wazi hilo! Zingine alikuwa anachota mifuko ya hifadhi ya jamii, nhif na kila sehemu aliyoweza kukwapua hela
Siyo jambo sahihi kukwapua hela kwenye hii mifuko, ndio maana leo hii wastaafu wanacheleweshewa hela zao sababu nyingi Magu alizikwapua. Kwa sasa yanatengenezwa mazingira ya kukopa mikopo yenye riba nafuu kwa kurudisha urafiki na nchi zenye kutoa mikopo hiyo. Awamu ya 5 mikopo yake ilikuwa ya kuliumiza taifa, na hiyo ilisababishwa na kichwa ngumu cha rais aliyekuwepo.Leo hii mifuko imetoboka? Mbona hawachoti?
Au hawakopi?
RIP magufuli
Marehemu hajitetei.Siyo jambo sahihi kukwapua hela kwenye hii mifuko, ndio maana leo hii wastaafu wanacheleweshewa hela zao sababu nyingi Magu alizikwapua. Kwa sasa yanatengenezwa mazingira ya kukopa mikopo yenye riba nafuu kwa kurudisha urafiki na nchi zenye kutoa mikopo hiyo. Awamu ya 5 mikopo yake ilikuwa ya kuliumiza taifa, na hiyo ilisababishwa na kichwa ngumu cha rais aliyekuwepo.